Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Hata mtoto mdogo tu anaona ile ni clear penalty hili ni tatizo la watu wenye chuki tu mpk anajitia upofu, lengo lake simba ishindwe aje kuibagaza humuWew naye kashabikie yanga basi ile ni penalt 100% sijui una shida gani na simba
Bichwa la Morison ni kubwa so lazima tuone ni penaltyNipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuz...
Yule mchezaji wa Police alikuwa anapiga mpira, mr. mindevu akachomeka kichwa.....sasa inakuwaje faulu! Refa alizingua!Watu wasiojua mpira bana, kitendo cha kunyenyua mguu kwenye kichwa cha mtu ni faulo tena ya wazi au ulitaka refa apete then mlete uzi kuwa refa kawanyima Simba penalty ya wazi
Huyu ni shabiki wa uto anajificha kwenye ushabiki wa simba sasa mtu adi anatibiwa kabisa kaumia unasema sio penalt kweliHata mtoto mdogo tu anaona ile ni clear penalty hili ni tatizo la watu wenye chuki tu mpk anajitia upofu, lengo lake simba ishindwe aje kuibagaza humu
Kama Azam watacheza mpira waliocheza misri uto atafungwaEndelea kubwabwaja mbwabwajo uchwara.
Taarifa ikufikie kuwa Jumapili Zimba anaenda kuongoza ligi maana jumamosi Azam anambomoa uto
Azam inashinda Jmosi . Itaondoka na point 3 muhimu dhidi ya Yanga .Endelea kubwabwaja mbwabwajo uchwara.
Taarifa ikufikie kuwa Jumapili Zimba anaenda kuongoza ligi maana jumamosi Azam anambomoa uto
Mke wa manara
Hatujawahi kuwa na shabiki shoga aaiyejua mpira kwa kiwango hicho..Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi....
Ulikuwa mpira wa TAKO BASI.Haukua mpira wa kichwa ndiyo maana mpigaji aliinama,na ni ndani ya box,haikua faulo
Hoja ya kiboya sana.Kwamba mwamuzi aliekaribu hasipoamua iwe faulo basi inakuwa sio faulo halali? Wazungu ndio maana wameanzisha VAR, kwa maana matukio yasioonwa vizuri na waamuzi wa ndani pengine kutokana na uzembe au kupunguza umakini yanasaidiwa kuonwa vizuri kwa msaada wa VAR, lakini sio kusema eti kwa vile aliekaribu hajasema ni faulo basi inakuwa sio faulo halali.Kweli wewe ni utopolo.Huna Akili na acha Kunipotezea muda wangu tafadhali sawa? Kama ilikuwa Penati halali kwanini Mshika Kibendera hakunyoosha wakati alikuwa karibu na Tukio badala yake Mwamuzi aliyekuwa kwa nyuma ndiyo alipuliza Filimbi?
Hawa jamaa mbona kama wameondoka kwa gubu