Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuz...
Bichwa la Morison ni kubwa so lazima tuone ni penalty
 
Endelea kubwabwaja mbwabwajo uchwara.
Taarifa ikufikie kuwa Jumapili Zimba anaenda kuongoza ligi maana jumamosi Azam anambomoa uto
 
Endelea kubwabwaja mbwabwajo uchwara.
Taarifa ikufikie kuwa Jumapili Zimba anaenda kuongoza ligi maana jumamosi Azam anambomoa uto
Azam inashinda Jmosi . Itaondoka na point 3 muhimu dhidi ya Yanga .
 
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi....
Hatujawahi kuwa na shabiki shoga aaiyejua mpira kwa kiwango hicho..
 
Huna Akili na acha Kunipotezea muda wangu tafadhali sawa? Kama ilikuwa Penati halali kwanini Mshika Kibendera hakunyoosha wakati alikuwa karibu na Tukio badala yake Mwamuzi aliyekuwa kwa nyuma ndiyo alipuliza Filimbi?
Hoja ya kiboya sana.Kwamba mwamuzi aliekaribu hasipoamua iwe faulo basi inakuwa sio faulo halali? Wazungu ndio maana wameanzisha VAR, kwa maana matukio yasioonwa vizuri na waamuzi wa ndani pengine kutokana na uzembe au kupunguza umakini yanasaidiwa kuonwa vizuri kwa msaada wa VAR, lakini sio kusema eti kwa vile aliekaribu hajasema ni faulo basi inakuwa sio faulo halali.Kweli wewe ni utopolo.
 
Timu mbovu

IMG_20211029_123022.jpg
 
Back
Top Bottom