OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ile move kuna jitihada kabisa za mwamnyeto kujaribu kushikahand to ball...ball to hand
Yakija kutokea kwa simba tusisikie habari za kubebwa na kuhogwa marefa.Haya 1-1.....umefurahi?
Yakija kutokea kwa timu ya wanaume msije kulialia.Mechi ijayo Yanga wakicheza omba uwe refa
Hapo itakuwa karidhika. Ushabiki mwingine maandazi,mtu anatamani awe refer yeye,mchezaji yeye,kibendera yeyeHaya 1-1.....umefurahi?
Lakini nyinyi si ndo mabigwa wa kulalamika?Hapo itakuwa karidhika. Ushabiki mwingine maandazi,mtu anatamani awe refer yeye,mchezaji yeye,kibendera yeye
Kuna mashabiki mtazeeka kabla hamjafikisha hata miaka 30. Mnateseka na mengi. Yanga ikicheza na timu yoyote mnateseka,simba timu yako ikicheza uteseke pia. Vipo vingine vya kuvipunguza ili usidumaze mwili na akili piaYakija kutokea kwa simba tusisikie habari za kubebwa na kuhogwa marefa.
Hiyo sheria hamna siku hizi mpira ukigusa mkono ni penaltyhand to ball...ball to hand
Lakini nyinyi si ndo mabingwa wa kulalamika hasa matukio kama haya yakitokea upande wa pili?ila yakitokea kwenu ni sawa?Kuna mashabiki mtazeeka kabla hamjafikisha hata miaka 30. Mnateseka na mengi. Yanga ikicheza na timu yoyote mnateseka,simba timu yako ikicheza uteseke pia. Vipo vingine vya kuvipunguza ili usidumaze mwili na akili pia
Relax man. Utakosa usingizi bureLakini nyinyi si ndo mabingwa wa kulalamika hasa matukio kama haya yakitokea upande wa pili?ila yakitokea kwenu ni sawa?
Yaan utoporo hamnazo kabisa.
Siwezi kukosa usingizi kwa sababu ya ushindi wa utoporo maana najua hiyo ni nguvu ya soda mtakata upepo muda sio mrefu .Relax man. Utakosa usingizi bure
Vipi mtafika mbali kwa kuishia mdomoni mwa UD songo?Siwezi kukosa usingizi kwa sababu ya ushindi wa utoporo maana najua hiyo ni nguvu ya soda mtakata upepo muda sio mrefu .
Mtarudi kwenye malamiko yenu maana ndio desturi yenu nyie manyani fc.
Acha uongo wako wewe! Hiyo sheria imefutwa lini wakati ndo kwanza imeanza kutumika 2018! Nakuwekea Sheria #12 ya FIFA hapa chini, na wewe weka hiyo sheria yako tuone:-Hiyo sheria hamna siku hizi mpira ukigusa mkono ni penalty