barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yanga inabebwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa hawachelewiYakija kutokea kwa simba tusisikie habari za kubebwa na kuhogwa marefa.
Hahaaa....umemaliza.Haya 1-1.....umefurahi?
Sio tu hakukua na penat, haikuwepo ata dalili ya penat. Ni Hofu ambayo mbumbumbu fc wanapata baada ya kuiona Yanga inapata matokeo wakati bado inatafuta muunganiko.
Mikia punguzeni gubu kwa mme wenu.
Mpira ulikowa unanyemelea mkono na kuna site za ubavu.
Pia mchezaji alijitahidi kuzuia kabisa, Ila siku nyingine uende wewe ukawe refa, maana unajua sana sheria hadi za ndoa
Hiyo sheria hamna siku hizi mpira ukigusa mkono ni penalty
Yakija kutokea kwa timu ya wanaume msije kulialia.
Sawa utoporo
Kwani kupewa penalty ndo kupata goli..?Aiseee huo mpira kaushika kabisa haina ubishi
Ukiangalia vizuri mikono ilikuwa mbali mgongo mpira umekuja kaitoa kaugusa mpira halafu kaurudisha nyuma