rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ungeona mitandao ya michezo na magazeti yao kuanzia mwanaspoti wanavyoshangiliaIngekua Penati ile imetokea kwa Simba ungesikia Kandambili FC wanavyolalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeona mitandao ya michezo na magazeti yao kuanzia mwanaspoti wanavyoshangiliaIngekua Penati ile imetokea kwa Simba ungesikia Kandambili FC wanavyolalamika
Tuanzie kwakoLuc alisema mashabiki wa Utopolo fc ni uneducated, na wanaropoka ka manyani na mbwa koko.
Hakukosea kabisa, Wao wanakua wakwanza kulalamikia marefa, lakini ikitokea lile kosa linawapa faida timu yao hapo hawasemi. Ila lile kosa liwe la kuifadisha timu nyingine tofauti na wao utawaona wanapiga kelele na kufanya propaganda kwa marefa. Sasa unashindwa kuelewa huwa wanapiga kelele ili kuwe na fair kwenye mchezo au kuwe na favour kwenye timu yao.
Kosa la Jana Utopolo mlistahili kuadhibiwa kwa penati ila referee hakuona, hapo ndo favour yenu ilipokuwepo.
Mnapotetea fair kwa marefa muwe wa kweli sio kwa unafiki, maana fair kuna wakati itakugusa hata wewe vile vile unfair kuna siku itakugusa wewe.
Tuanzie kwako
Simba mkiwa mnacheza na wawa akashika huku refa hajaona
Je utamfata refa na kumwambia atenge tuta mfungwe ili kuendeleza hiyo fair play unayodai?
Hujajibu swali langu hapo kweli soka la bongo kazi kweli kama mashabiki ndo nyieMna tabia ya kulaumu sana waamuzi wanapofanya makosa ya kawaida kabisa yanayowapa faida Simba inapocheza Simba.Tena kibaya zaidi hamuangalii Simba wanavyofanyiwa na waamuzi wakati mwingine.Unaweza kuta kuna rafu mbaya zinazohitaji hata direct red card lakini mtu hapewi hata yellow.
Sasa tunataka tuwaoneshe kila kosa linalowabeba nyie utopolo,na yako mengi sana.
Kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona mwamuzi kaona mpira umevuka mstari ndani ya goli ila inakuwa conner!
Najua mengi tutayaona kwa vile ni kawaida yenu kubebwa halafu ninyi ndio lia lia hovyo
Unapoongea hivyo umefikiria hata sheria za mpira zinasemaje kuhusu kuingia uwanjani kwa asiyehusika?Tuanzie kwako
Simba mkiwa mnacheza na wawa akashika huku refa hajaona
Je utamfata refa na kumwambia atenge tuta mfungwe ili kuendeleza hiyo fair play unayodai?
Kwanza wapi nimesema uingie uwanjan kufanya nn kumpiga refa?Unapoongea hivyo umefikiria hata sheria za mpira zinasemaje kuhusu kuingia uwanjani kwa asiyehusika?
Ungekua unasoma vzr nilichokianda na kuruhusu akili yako bila ushabiki usingeuliza ulichokiuliza. Fair ninayoisema Mimi ni kwa sisi mashabiki kujua kua kuna wakati referee naye ni binadamu anaweza kukosea kutokuona kwa sababu yeye huona tukio Mara moja. Pia ka tunakosoa makosa ya marefa tuwe fair kwa kukosoa bila kujali yameipa faida timu yako. Hiyo ndio fair. Sio referee kakosea kuipa favour timu yako unaanza kutetea ubovu uliyofanyika na referee .tuwe fair kukosoa bila kujali hayo makosa ya referee yameifaidisha timu yako. Kama ni black tuseme black, na kama ni white tuseme ni white. Ilo litasaidia kufikia malengo ya kuifanya Ligi yetu iwe bora
Rudi soma hiyo post yangu ya mwisho ndo ulete hoja zako kulingana na nilichozunguzia mimi.Kwanza wapi nimesema uingie uwanjan kufanya nn kumpiga refa?
Swali ni lile lile kutokana na maoni yako
Na wala sijakosea
Mpira haupo fair kama unavyodai ile ni slogan tu wanaihubiri.
Sasa ili kuthibitisha nakuuliza swali jingine ili twende na hiyo fair play
Team mna mechi ,mchezaji akakatwa ndani ya box
Na refa akapeta je utamwambia refa kuwa huyu mchezaji tumemfanyia madhambi weka penalti iende golini kwetu.?
Ama utapeta ili msifungwe
Kwanini basi usifanye fair na kuomba refa aweke penalti kwan mmefanya madhambi kwenye box...! Bila shaka huwezi hakuna anayependa kupoteza chochote ..
Maumivu huwa ni kwa mtendewa na sio mtenda
Umeshindwa kujibu mkuu kwani nimeongelea nini masumbwi ama nini?Rudi soma hiyo post yangu ya mwisho ndo ulete hoja zako kulingana na nilichozunguzia mimi.
Mi nazunguzia fair kwenye kukosoa mapungufu ya marefa we unaleta habari zako.
HayaUmeshindwa kujibu mkuu kwani nimeongelea nini masumbwi ama nini?
Kubali tu iko hivyo
Mnavyotetea ujinga hapo. Ikitokea kwa simba oooh wanabebwa ooh refa kahongwa. MKOME kutupilia mikilele yetuMpira ulikowa unanyemelea mkono na kuna site za ubavu.
Pia mchezaji alijitahidi kuzuia kabisa, Ila siku nyingine uende wewe ukawe refa, maana unajua sana sheria hadi za ndoa
Unajua hayo kwa yanga tuuu. Yakitokea simba mpka unawaburula chini. MINYANI FC. MKOME kutupilia mikilele ligi inaendelea hii.hand to ball...ball to hand
Sheria ya mpira kugusa mkono hivi sasa haipo, imeshafutwa kama misimu miwili hivi. Sasa hivi inahesabika penaltyHapo mpira umegusa mkono na huo mkono umefuata kabisa mpira.
Hivi unafikiri unaweza kumwelimisha nyani uneducatedRudi soma hiyo post yangu ya mwisho ndo ulete hoja zako kulingana na nilichozunguzia mimi.
Mi nazunguzia fair kwenye kukosoa mapungufu ya marefa we unaleta habari zako.