Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.

Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine

1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale yote.

2. Jakaya Mrisho Kikwete na Familia yake yote

3. Rostam Aziz na Familia yake yote

4. Mwenyekiti wa CCM Iringa Asas na familia yake yote.

4. Ghalib GSM na familia yake yote. Huyu alitoa Bilioni 10 kwenye kufadhili Uchafuzi uliofanywa na CCM.

5. Andrew Chenge
 
Mwenyekitu wa tume ya uchaguzi na mkurugenzi wake, msajili wa vyama vya siasa, Makonda, Chalamila, Herry James, IGP, CDF, Mombo, Murilo, msemaji wa polisi (Msime)
 
Huyu hataumia sana.

Tuwaweke wote ambao tunajua lazima waumie kweli.

Uzi huu unafuatiliwa na EU wenyewe.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tehe tehe tehe heeeeeee

Umoja wa ulaya umekuwa kamati kuu ya chadomoo?
 
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.

Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine

1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale yote.

2. Jakaya Mrisho Kikwete na Familia yake yote

3. Rostam Aziz na Familia yake yote

4. Mwenyekiti wa CCM Iringa Asas na familia yake yote.

4. Ghalib GSM na familia yake yote. Huyu alitoa Bilioni 10 kwenye kufadhili Uchafuzi uliofanywa na CCM.

5. Andrew Chenge
Wasanii wote isipokuwa Wakazi, Rose Ndauka, Lukamba na Rosaree
 
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.

Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine

1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale yote.

2. Jakaya Mrisho Kikwete na Familia yake yote

3. Rostam Aziz na Familia yake yote

4. Mwenyekiti wa CCM Iringa Asas na familia yake yote.

4. Ghalib GSM na familia yake yote. Huyu alitoa Bilioni 10 kwenye kufadhili Uchafuzi uliofanywa na CCM.

5. Andrew Chenge
Kijana wake Asas alihusika moja kwa moja kuua ndugu zetu ni wale miongoni walionekana wakiwafyatulia ndugu zetu risasi bila huruma.
 
Jaji Mwambegele
Huyu jaji forehead yake utadhani sperm whale.

spermhead3.jpg
 
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.

Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine

1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale yote.

2. Jakaya Mrisho Kikwete na Familia yake yote

3. Rostam Aziz na Familia yake yote

4. Mwenyekiti wa CCM Iringa Asas na familia yake yote.

4. Ghalib GSM na familia yake yote. Huyu alitoa Bilioni 10 kwenye kufadhili Uchafuzi uliofanywa na CCM.

5. Andrew Chenge
Makonda aendelee na Ban
 
Silvester Mwakitalu.

Innocent Bashungwa.

Jacob Mkunda.

Camilius Wambura.

Mombo Suleiman.

Stergomena Tax.

Ramadhan Kingai

Muliro Jumanne Muliro.

Faustine Mafwele.

Mahmoud Thabit Kombo.

Tulia Ackson Mwansasu.

Hawa sio tu vikwazo vya kiuchumi, inabidi hata wakiugua wasitoke nje ya nchi maana kuna wenye "privileges" za kutibiwa nje ya nchi kwa mwamvuli wa pesa za walipa kodi.

Basi hata kama wana ugonjwa ulioshindikana waachwe wafie katika hospital za Tanzania kwa kutopokelewa katika nchi zingine.
 
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.

Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine

1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale yote.

2. Jakaya Mrisho Kikwete na Familia yake yote

3. Rostam Aziz na Familia yake yote

4. Mwenyekiti wa CCM Iringa Asas na familia yake yote.

4. Ghalib GSM na familia yake yote. Huyu alitoa Bilioni 10 kwenye kufadhili Uchafuzi uliofanywa na CCM.

5. Andrew Chenge
Michango ya Judge Mwambegele, Judge Mutungi na Judge Mwanga katika kuliingiza taifa kwenye machafuko ni mikubwa sana.

Hawa walikuwa key enablers wa Serikali dhalimu ya CCM.
 
Back
Top Bottom