Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] na sifi ngooooo
CC Zero IQ
Hapana pleaaaase.Hapana wakitoka hawa utahardtokiwa wewe mkuu
CC Zero IQ
Eeeh, miaka hiyo sisi wengine hatukuwa na redioNimekuelewa, nakumbuka kabla ya kina Mr 2 kutoka kuna jamaa alitoka Dar akaja bush na kanda zenye recording za kina Salehe Jabir za "Ruka kama ndege tua kama ninja, usipende wengi kama maumba".
Huyo dogo alikuwa na radio cassette, tulikuwa tunaenda kusikiliza nyimbo kwao, na yeye alikuwa amemeza hizo nyimbo tukawa tunamwona kichwa sana. Baba yake alikuwa manager wa Bank ya NBC kabla ya kubinafsishwa kwa makaburu.
Hahaha kazi kwekikweli, umesema kujaladia umenikumbusha mbali. Hakuna kitu ilikuwa inanigombanisha na mlezi wangu kama kujaladia daftari yaani nilikuwa sipendiiiNa hapo mpaka upate access ya kuingia kwao ilikuwa lazima muwe marafiki sana, maana kuna mapolisi wanalinda. Mimi nilikuwa namsaidia kujaladia madaftari yake ananipa magazeti. Kwa hiyo tulikuwa kampani.
Hahaha kazi kwekikweli, umesema kujaladia umenikumbusha mbali. Hakuna kitu ilikuwa inanigombanisha na mlezi wangu kama kujaladia daftari yaani nilikuwa sipendiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow...unaonekana ulikuwa nadhifu sanaMoja ya vitu nilikuwa napenda ni kujaladia, maana nilikuwa najitahidi inakuwa sawa na daftari. Darasa zima hakuna aliyekuwa ananifikia. Sasa yule dogo alikuwa na migazeti mingi anakuja nayo shule. Kujaladia daftari moja napewa gazeti moja.
Hebu jaribu jamani dadanguHahahaaa.
Hapana aisee.
Kwani uzi ulianzishwa?Khaa!!!, Hahah!
Haki wewe!, Ungejua ndo nauona Uzi wa Hardtalk ya Nalendwa saa hii. Nilikuwa hata sijui nini kimeendelea toka majadiliano ya jana...😀
Itabidi uingie badala yangu.