Pendekeza ID ya member mmoja wa kike awepo kwenye JF Hard Talk ya leo

Pendekeza ID ya member mmoja wa kike awepo kwenye JF Hard Talk ya leo

Na hapo mpaka upate access ya kuingia kwao ilikuwa lazima muwe marafiki sana, maana kuna mapolisi wanalinda. Mimi nilikuwa namsaidia kujaladia madaftari yake ananipa magazeti. Kwa hiyo tulikuwa kampani.
Hahaha kazi kwekikweli, umesema kujaladia umenikumbusha mbali. Hakuna kitu ilikuwa inanigombanisha na mlezi wangu kama kujaladia daftari yaani nilikuwa sipendiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kazi kwekikweli, umesema kujaladia umenikumbusha mbali. Hakuna kitu ilikuwa inanigombanisha na mlezi wangu kama kujaladia daftari yaani nilikuwa sipendiii

Sent using Jamii Forums mobile app

Moja ya vitu nilikuwa napenda ni kujaladia, maana nilikuwa najitahidi inakuwa sawa na daftari. Darasa zima hakuna aliyekuwa ananifikia. Sasa yule dogo alikuwa na migazeti mingi anakuja nayo shule. Kujaladia daftari moja napewa gazeti moja.
 
Back
Top Bottom