Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #101
Safi hongera kwa kujiamini sio kama hilo li fala lianzisha thread lioshambwa kazi yake kusema wengine ndio wana sifa.Mimi mwenyewe Sexless natakiwa kuwa mbunge Jimbo lolote.
Hizo comments za jana zote nilikuwa na type nikiwa sehemu nagonga shots πππHahaha kwani hicho Unachovuta wanaku changanyiaga na nini π€£π€£
Bunge litakuwa la moto πππHahahah mate! Kweli kutawaka moto! π
πππ na wale wanaokata tiketi ya g/mboto halafu wanapitiliza had DomNaahidi kuwashughulikia wale ngedere wote na mbuni wanaoharibu miundombinu kwenye treni yetu ya umeme
Wewe umeshindikanaa Wallah vile π€£π€£Hizo comments za jana zote nilikuwa na type nikiwa sehemu nagonga shots πππ
π€£π€£π€£Hiyo deal hata mimi na ubunge wangu tarajiwa nikizipata hizo ticket walahi natembea zangu mpaka mji kasoro bahariπππ na wale wanaokata tiketi ya g/mboto halafu wanapitiliza had Dom
π€£π€£π€£ Humu ukijifanya timamu utaichosha akili, ni kwenda nao kichale chale huku unagonga shots zako mdogo mdogoβ¦Wewe umeshindikanaa Wallah vile π€£π€£
πππ weekend moja twende na sie tukapande SGR kwa buku sis mpk Domπ€£π€£π€£Hiyo deal hata mimi na ubunge wangu tarajiwa nikizipata hizo ticket walahi natembea zangu mpaka mji kasoro bahari
Yaani tukutane pale mjini mapemaaa,na camera ziwe full tukiingia huko ni mwendo wa mipicha tu,tukishuka dodoma wakavuuuπ ππππ weekend moja twende na sie tukapande SGR kwa buku sis mpk Dom
Tupande lile lenye karaoke π€ tujisnap huku tunavaibika mpaka tukifika dom tuko hoi π€£π€£Yaani tukutane pale mjini mapemaaa,na camera ziwe full tukiingia huko ni mwendo wa mipicha tu,tukishuka dodoma wakavuuuπ π
Hiyo inaitwa nginjangija....Tupande lile lenye karaoke π€ tujisnap huku tunavaibika mpaka tukifika dom tuko hoi π€£π€£
Hebu tufanye kweli nimemiss kuswampa ujue ππ
Tukitoka dom twende Zanzibar hakuna kutulia
Ngoja tumuulize wizzy yeye alishasafiri atuambie πππHiyo inaitwa nginjangija....
Kumbe kuna hadi karioke?je kuna vitu vya kushushia hizo nyimbo?au ndio Fanta orange?
SijapandaπππNgoja tumuulize wizzy yeye alishasafiri atuambie πππ
Countrywide hivi kwenye SGR kuna mvinyo?
Dada anataka kujua hapa..!!
Acha uongo, warumi ππSijapandaπππ
Nikienda Dom napanda shabibyππAcha uongo, warumi ππ
Sio champion π€£π€£Nikienda Dom napanda shabibyππ
Kweli tubeless kabisa na glass zetu,muulize vizuri bwanaSio champion π€£π€£
Bhana em tuambie km mvinyo upo au tunaruhusiwa kubeba yetu?
Tunataka kwenda kweli na sisy Joha..!