Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Hii nchi kila siku vijana wanaendelea kuwa chawa na kuwapigia upatu watu walewale miaka nenda rudi. Sijaona watu wapya hapo.

Nenda wewe bungeni sio kutaja majina ya watu wanaokula kodi za wananchi ili waendelee kuzitafuna zaidi.
 
😂😂😂 na wale wanaokata tiketi ya g/mboto halafu wanapitiliza had Dom
🤣🤣🤣Hiyo deal hata mimi na ubunge wangu tarajiwa nikizipata hizo ticket walahi natembea zangu mpaka mji kasoro bahari
 
Wewe umeshindikanaa Wallah vile 🤣🤣
🤣🤣🤣 Humu ukijifanya timamu utaichosha akili, ni kwenda nao kichale chale huku unagonga shots zako mdogo mdogo…
 
Yaani tukutane pale mjini mapemaaa,na camera ziwe full tukiingia huko ni mwendo wa mipicha tu,tukishuka dodoma wakavuuu😅😅
Tupande lile lenye karaoke 🎤 tujisnap huku tunavaibika mpaka tukifika dom tuko hoi 🤣🤣

Hebu tufanye kweli nimemiss kuswampa ujue 😂😂
Tukitoka dom twende Zanzibar hakuna kutulia
 
Tupande lile lenye karaoke 🎤 tujisnap huku tunavaibika mpaka tukifika dom tuko hoi 🤣🤣

Hebu tufanye kweli nimemiss kuswampa ujue 😂😂
Tukitoka dom twende Zanzibar hakuna kutulia
Hiyo inaitwa nginjangija....
Kumbe kuna hadi karioke?je kuna vitu vya kushushia hizo nyimbo?au ndio Fanta orange?
 
Back
Top Bottom