Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Kuna issue anafanya, anakuja ss hivi.! 😂

Hivi kumbe jana alilewa halafu mi akanizuga.!! 🤣🤣🤣
Jana hajalewa kabisa,nilikuwa nae hadi usiku mkali na alikuwa fresh tu
 

Kuna Dr Barnabas Mbogo huku Nyamagana, Mwanza. Yule mwamba ni mali na hazina ya Taifa.
 
umechagua watetea ccm, hatuhitaji mtete ccm, tunathitaji mpigania mtu atakapigania maendeleo ya nchi
 
1. Mh. Lucas Mwashambwa - CCM
2. Mh. Joseph Mbilinyi - CHADEMA
3. Mh. Paschal Mayalla - CCM
4. Mh. Freeman Mbowe - CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…