Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Na kwanini niwe na baya na wewe dada mkubwa? Wewe ndio final say wetu 🤣🤣Huna baya mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwanini niwe na baya na wewe dada mkubwa? Wewe ndio final say wetu 🤣🤣Huna baya mdogo wangu
Hallelujah...mwambie aamke sasa kwani alikunywa nini jana?Na kwanini niwe na baya na wewe dada mkubwa? Wewe ndio final say wetu 🤣🤣
Kuna issue anafanya, anakuja ss hivi.! 😂Hallelujah...mwambie aamke sasa kwani alikunywa nini jana?
Jana hajalewa kabisa,nilikuwa nae hadi usiku mkali na alikuwa fresh tuKuna issue anafanya, anakuja ss hivi.! 😂
Hivi kumbe jana alilewa halafu mi akanizuga.!! 🤣🤣🤣
Ndugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.
Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.
Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?
Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.
.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.
. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.
. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.
. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM
. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.
. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.
. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro
. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.
Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Alilewa usimtetee 😂😂😂Jana hajalewa kabisa,nilikuwa nae hadi usiku mkali na alikuwa fresh tu
🤣🤣🤣🤣Boss halewagi! anachangamka.Alilewa usimtetee 😂😂😂
Ila utetezi mzito sana 😂😂🤣🤣🤣🤣Boss halewagi! anachangamka.
Msikilize huyu mpiga Kura, then utajua hii Nchi ina Watu ni mashetani na mbwa
View: https://vm.tiktok.com/ZMrToghgs/
Boss hana bayaIla utetezi mzito sana 😂😂
Jana sijaongea nae, Leo nilikua busy Ila baadae ntaongea nae😂Countrywide njoo MP kapitisha tayari huku
umechagua watetea ccm, hatuhitaji mtete ccm, tunathitaji mpigania mtu atakapigania maendeleo ya nchiNdugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.
Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.
Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?
Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.
.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.
. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.
. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.
. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM
. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.
. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.
. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro
. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.
Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
1. Mh. Lucas Mwashambwa - CCMNdugu zangu watanzania,

Kabisa😂😂Itakuwa safari km ya wana wa Israel vituo vya kula bata vitakuwa vingi..!
Hatutofika mapema na tunavyopenda kubishana sisy Joa atajuta kutusuluhisha.!! 🤣🤣🤣
Ungeacha nikucheck jana😂Mhm!! Jambo gani tena? 😂😂
Jana alikua busy akashindwa kuongea😂Aaaaah unataka tumwage mchele kwenye kuku wengi? Countrywide njoo mdogo wangu boss anajifanya haelewi huku
Au ulikunywa vitu vikali jana?Jana sijaongea nae, Leo nilikua busy Ila baadae ntaongea nae😂
Hamna, nilikua na mambo mengi tu leo😂Au ulikunywa vitu vikali jana?
Ooooh,good!Hamna, nilikua na mambo mengi tu leo😂
Now i’m free njooni hapa tumalize jambo letu week-end inaanza leo 😂😂Jana alikua busy akashindwa kuongea😂