Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

Na mie acha nifungue kanisa liitwe senti Magufuli
 
Kwanini isiitwe Dr Samia S H highway?!
 
Mafisadi hayataki hata kumsikia huyu mwamba baada ya kuyapa supana kwa miaka kadhaa ,sasa yanamtungia vitabu vya kumchafua, sina uhakika kama yanaona zuri hata moja toka kwake.
 
Mbona zipo alizojenga kule Chato.
Si mkamuenzi kule!
 
Na walioijenga hiyo barabara kabla ya shetani lenu la Chattle tunawaenzi vp?
 
Wazo zuri
 
Its not gonna happen
Magufuli ni kama maji, utayanywa tuu.. unatembeza kigali chako cha mil 10 kwa madaha kwenye barabara nzuri iliyojengwa na unaye mchukie bila hat sababu, kisa tuu alikukatia mirija ya wizi..
 
Magufuli ni kama maji, utayanywa tuu.. unatembeza kigali chako cha mil 10 kwa madaha kwenye barabara nzuri iliyojengwa na unaye mchukie bila hat sababu, kisa tuu alikukatia mirija ya wizi..
Pesa ni za walipa kodi, dont pretend you dont know. You are loosing touch with reality, the deceased was a lunatic
 
Magufuli ni kama maji, utayanywa tuu.. unatembeza kigali chako cha mil 10 kwa madaha kwenye barabara nzuri iliyojengwa na unaye mchukie bila hat sababu, kisa tuu alikukatia mirija ya wizi..
Poti zile ni kodi zetu na zimejengwa na Tanzania sio mtu mmoja.
 
Jambo jema kabisa
 
Naunga mkono hoja.

Pia ili kuiboresha barabara hii napendekeza iwekewe taa kuanzia kimara mwisho Hadi kibaha.
Tanroad waulizwe fedha za taa zimepelekwa wapi.. Taa ilikua ni moja ya requitement ya barabara hii toka day 1
 
Pesa ni za walipa kodi, dont pretend you dont know. You are loosing touch with reality, the deceased was a lunatic
Mbona unakua mkali kiasi hicho. Au sehemu ya wapigani wa kodi zetu
 
Pesa ni za walipa kodi, dont pretend you dont know. You are loosing touch with reality, the deceased was a lunatic
Acha wizi wa pesa za umma, utakua na maisha mazuri tuu..
 
Huo ni ujinga. Ibaki kwa jina lake Morogoro lililoweleka toka enzi na enzi.

Msituletee mambo ya kishamba hapa.
Ujinga kwako, inaonekana ni wale wanao mchukie Magufuli baada ya kunyimwa ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…