Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

Ili kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi , Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.

Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu.

Tunaomba rais pamoja na baraza lako ulifikirie hilo. View attachment 2593330
Iite nyumba yako

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Nyumba yako iandike madufuli house

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hatujawahi kuwa na Rais mchapakazi namna ile, anayeshinda site na kuipitia hata ile miradi tuliyoidharau na kuiona midogo, hilo moja ni la kuenziwa na nitamkumbuka kwalo!
Sonona itawaua nyie Sukuma gang, kwani msikubali tu matokeo kuwa mungu wenu kafa na mwisho wenu umekuwa wa aibu na kamwe hamtokuja tena kushika madaraka ya juu.
 
Naunga mkono hoja.hii itahamasisha hata rais wa sasa aweze kufanya kazi kwa bidii maana kwa sasa amelala usingizi.wajanja wamemzidi akili wanajilia tu mali za umma
 
Mkuu hivi huko Uingereza pia mabarbara pia huitwa majina ya Wanasiasa wasiopendwa na Wananchi?
Hapana mkuu hakuna kitu kama hicho
Barabara nyingi ni namba tu
Mitaa kuna baadhi ya viongozi wa nje na watu mashuhuri
Huwezi kuamini kuna mwizi maaraufu Enzi zile alifariki mwaka 1739 kwa Jina Dick Turpin

Kuna barabara kwa Jina lake inaitwa Dick Turpin Way iko Hatton Cross maeneo ya Heathrow airport

Ila huko wamezidi kila mradi mara Jina la aliesimamia
Mara ooh wameniomba hiyo barabara iwe jina langu au stendi

Kutafuta misifa ya kijinga
Huku barabara zinajengwa wala hujui nani anajenga kama hufuatilii bali unaona watu wanafanya kazi usiku na mchana na kazi ikiisha unaona watu wanapita tu
Sio mpaka watangaze ooh kuna ufunguzi wa Choo au barabara
Ni ushamba tu, watu wanataka kuona kodi zao zinafanya kazi tu sio matangazo
 
Naunga mkono hoja.hii itahamasisha hata rais wa sasa aweze kufanya kazi kwa bidii maana kwa sasa amelala usingizi.wajanja wamemzidi akili wanajilia tu mali za umma
Ila Rais wa sasa wamemzidi kete.. wanapiga pesa zote za kodi..
 
Hatujawahi kuwa na Rais mchapakazi namna ile, anayeshinda site na kuipitia hata ile miradi tuliyoidharau na kuiona midogo, hilo moja ni la kuenziwa na nitamkumbuka kwalo.
Wazeee wa kulinda kaburi
JamiiForums-92885737.jpg
 
Ili kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi, Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.

Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu.

Tunaomba rais pamoja na baraza lako ulifikirie hilo.
View attachment 2593330
Hii barabara iitwe dar moro highway!! Kama ilivyo Ile ya Kenya Nairobi Mombasa highway!! Au aThika road !!! Jamani acheni ushamba wasukuma mtazidi kudharaulika
 
Barabara jina lake ni Morogoro road au barabara ya Morogoro...full stop
 
Back
Top Bottom