roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Hakuna kitu kama hichoMUGUFULI HIGHWAY ITANOGA ZAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hichoMUGUFULI HIGHWAY ITANOGA ZAIDI
Tanzania nayo ibadilishwe jina iitwe Magufuli..🗑️🗑️🗑️Ili kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi, Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.
Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu.
Tunaomba rais pamoja na baraza lako ulifikirie hilo.
View attachment 2593330
Sijui ilitokeaje hadi ile stend ya mabasi iitwe hilo jina!Ili kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi, Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.
Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu.
Tunaomba rais pamoja na baraza lako ulifikirie hilo.
View attachment 2593330
Mkuu, kitendo kile cha kuvunja nyumba za watu, wengi wao wakiwa wastaafu ambao viinua mgongo vyao viliishia kwenye kujenga nyumba hizo kume muondolea uhalali wa kuitwa jina lake kwenye barabara hiyo, na hasa ukizingatia njia hizo 8 na hata angeanua ziwe 12, bado hazingefika kwenye hizo nyumba alizobomoa. Ametengeneza mapori ya vibaka tu mini. Tunamwomba Mama awa hurumie hawa watu walio bomolewa hata kifuta machozi tu.Serikali iwalipe fidia wahanga walioshinda kesi mahakamani Kwa kubomolewa nyumba zao bila kulipwa fidia na Marehemu gaidi Jiwe kupisha ujenzi wa hiyo barabara. Huyo Marehemu gaidi barabara ya airport Ilemela to Mwanza mjini ndio iitwe Jina lake
Mkuu umenishtua, jamani ebu tuangalie kwenye ripoti ya CAG huenda huko fedha za hizo taa tutajua zime kwenda wapi.Tanroad waulizwe fedha za taa zimepelekwa wapi.. Taa ilikua ni moja ya requitement ya barabara hii toka day 1
Mkuu, barabara haja jenga Magu, barabara hizi zimejengwa zamani sana, na inawezekana zimejengwa kabla ya wengi humu JF kuzaliwa.. Kinachofanyika leo ni kuziboresha tu kutokana na wakati. Hi ni sawa na baba kwa wakati wake amejenga nyumba yake mzuri na akaezeka bati zake paa la mgongo wa tembo, anbao ndio mapaa ya nyakati hizo. Sasa baada ya miaka mingi kupita mtoto wake ana fanya marekebisho kwenye nyumba ya baba yake, ondoa lile paa la mgongo wa temba na kuezeka mpauo wa mapaa mengi na kuezeka na mabati ya msouth. Pamoja na huyo mtoto kufanya hivyo, huwezi sema kwamba 'mtoto amejenga nyumba hiyo" yeye amefanya ukarabati. Sembuse huyu aliyetumia fedha za kodi ya Watanzania.Hapana mkuu hakuna kitu kama hicho
Barabara nyingi ni namba tu
Mitaa kuna baadhi ya viongozi wa nje na watu mashuhuri
Huwezi kuamini kuna mwizi maaraufu Enzi zile alifariki mwaka 1739 kwa Jina Dick Turpin
Kuna barabara kwa Jina lake inaitwa Dick Turpin Way iko Hatton Cross maeneo ya Heathrow airport
Ila huko wamezidi kila mradi mara Jina la aliesimamia
Mara ooh wameniomba hiyo barabara iwe jina langu au stendi
Kutafuta misifa ya kijinga
Huku barabara zinajengwa wala hujui nani anajenga kama hufuatilii bali unaona watu wanafanya kazi usiku na mchana na kazi ikiisha unaona watu wanapita tu
Sio mpaka watangaze ooh kuna ufunguzi wa Choo au barabara
Ni ushamba tu, watu wanataka kuona kodi zao zinafanya kazi tu sio matangazo
Kilaza highwayBavicha watakwambia iitwe gaidi highway
Hilo eneo lote lilikua ni road reserve toka enzi za mkoloni..Mkuu, kitendo kile cha kuvunja nyumba za watu, wengi wao wakiwa wastaafu ambao viinua mgongo vyao viliishia kwenye kujenga nyumba hizo kume muondolea uhalali wa kuitwa jina lake kwenye barabara hiyo, na hasa ukizingatia njia hizo 8 na hata angeanua ziwe 12, bado hazingefika kwenye hizo nyumba alizobomoa. Ametengeneza mapori ya vibaka tu mini. Tunamwomba Mama awa hurumie hawa watu walio bomolewa hata kifuta machozi tu.
Magufuli ni Rais pekee ambaye ametufundisha wananchi kwamba ni kosa kujenga kwenye road reserve..Mkuu, kitendo kile cha kuvunja nyumba za watu, wengi wao wakiwa wastaafu ambao viinua mgongo vyao viliishia kwenye kujenga nyumba hizo kume muondolea uhalali wa kuitwa jina lake kwenye barabara hiyo, na hasa ukizingatia njia hizo 8 na hata angeanua ziwe 12, bado hazingefika kwenye hizo nyumba alizobomoa. Ametengeneza mapori ya vibaka tu mini. Tunamwomba Mama awa hurumie hawa watu walio bomolewa hata kifuta machozi tu.
hii ngoma inatakiwa ije hiv hivh hadi msamvu 140km/hr watu wanyoshe goatIli kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi, Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.
Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu.
Tunaomba rais pamoja na baraza lako ulifikirie hilo.
View attachment 2593330
express way kibongo bado sanaNgoma nzuri sana sema wamejenga kienyeji sana.. haijafikia viwango vya express way.