Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

Hii barabara iitwe dar moro highway!! Kama ilivyo Ile ya Kenya Nairobi Mombasa highway!! Au aThika road !!! Jamani acheni ushamba wasukuma mtazidi kudharaulika
Au ibakie namba yake Motorway one au number one.
 
Mafisadi hayataki hata kumsikia huyu mwamba baada ya kuyapa supana kwa miaka kadhaa ,sasa yanamtungia vitabu vya kumchafua, sina uhakika kama yanaona zuri hata moja toka kwake.
Mimi sio fisad ila jamaa ni mwamba feki
 
Hii barabara iitwe dar moro highway!! Kama ilivyo Ile ya Kenya Nairobi Mombasa highway!! Au aThika road !!! Jamani acheni ushamba wasukuma mtazidi kudharaulika
MUGUFULI HIGHWAY ITANOGA ZAIDI
 
Hii sio Barabara ya mtaa kwamba unaweza ita jina lolote la kienyeji , Bali Barabara kuu ya Tanzam highway class one T1.

Hayo majina kaite kwenye Barabara za mtaani kwenu.
 
Swadakta
 
Jina linalo wekwa nila LEGEND, ambaye hakuna Rais wa nchi hii amewahi kufanya mambo makubwa kama yeye.. kwa miaka 5 amefanya mambo ambayo Marais wote yaliwashinda.
 
Nimekwambia huo ujinga peleka kwenu, Highway Huwa haziitwi majina ya kienyeji
 
Mnakera sana na hayo majina yenu.

Unaweza ita hata Choo chako Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…