Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

Mnataka barabara iwe inaua watu kilasiku... Embu acheni wafu watulie huko
 
Tanzania nayo ibadilishwe jina iitwe Magufuli..🗑️🗑️🗑️
 
Sijui ilitokeaje hadi ile stend ya mabasi iitwe hilo jina!
 
Serikali iwalipe fidia wahanga walioshinda kesi mahakamani Kwa kubomolewa nyumba zao bila kulipwa fidia na Marehemu gaidi Jiwe kupisha ujenzi wa hiyo barabara. Huyo Marehemu gaidi barabara ya airport Ilemela to Mwanza mjini ndio iitwe Jina lake
Mkuu, kitendo kile cha kuvunja nyumba za watu, wengi wao wakiwa wastaafu ambao viinua mgongo vyao viliishia kwenye kujenga nyumba hizo kume muondolea uhalali wa kuitwa jina lake kwenye barabara hiyo, na hasa ukizingatia njia hizo 8 na hata angeanua ziwe 12, bado hazingefika kwenye hizo nyumba alizobomoa. Ametengeneza mapori ya vibaka tu mini. Tunamwomba Mama awa hurumie hawa watu walio bomolewa hata kifuta machozi tu.
 
Tanroad waulizwe fedha za taa zimepelekwa wapi.. Taa ilikua ni moja ya requitement ya barabara hii toka day 1
Mkuu umenishtua, jamani ebu tuangalie kwenye ripoti ya CAG huenda huko fedha za hizo taa tutajua zime kwenda wapi.
 
Mkuu, barabara haja jenga Magu, barabara hizi zimejengwa zamani sana, na inawezekana zimejengwa kabla ya wengi humu JF kuzaliwa.. Kinachofanyika leo ni kuziboresha tu kutokana na wakati. Hi ni sawa na baba kwa wakati wake amejenga nyumba yake mzuri na akaezeka bati zake paa la mgongo wa tembo, anbao ndio mapaa ya nyakati hizo. Sasa baada ya miaka mingi kupita mtoto wake ana fanya marekebisho kwenye nyumba ya baba yake, ondoa lile paa la mgongo wa temba na kuezeka mpauo wa mapaa mengi na kuezeka na mabati ya msouth. Pamoja na huyo mtoto kufanya hivyo, huwezi sema kwamba 'mtoto amejenga nyumba hiyo" yeye amefanya ukarabati. Sembuse huyu aliyetumia fedha za kodi ya Watanzania.
 
Hilo eneo lote lilikua ni road reserve toka enzi za mkoloni..
 
Magufuli ni Rais pekee ambaye ametufundisha wananchi kwamba ni kosa kujenga kwenye road reserve..

Sasa hivi kila Mtanzania anajua na anaogopa kujenga kwenye road reserves
 
hii ngoma inatakiwa ije hiv hivh hadi msamvu 140km/hr watu wanyoshe goat
 
Kabla ya kupewa hilo jina iboreshwe mpaka chalinze ziwe four way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…