Pendekezo: Bunge la bajeti mwezi Aprili - Juni liendeshwe kidigitali fedha itayookolewa isaidie mapambano dhidi ya Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.

Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.

Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hapo hatuokoi posho

Maana utaambiwa bando lilinunuliwa kwa garama ambazo hujawahi kusikia

Utasikia nilitumia mafuta kufuata mtandao wa intanet kwa hiyo garama ziliongezeka
 
Ningeshauri Rais Na Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, waende kumjulia hali na kujua changamoto anazopitia mgonjwa wetu wa Corona huko Arusha. Kuonesha uzalendo wa kweli (Sio uzalendo wa porojo).

Kama walivyokwenda kwa Mangula.

Wao si waliambiwa wazuie ndege kuingia na kutoka nchini kwa muda, ila wakaona wataweza kulimudu hili janga.
 
Ningeshauri Rais Na Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, waende kumjulia hali na kujua changamoto anazopitia mgonjwa wetu wa Corona huko Arusha. Kuonesha uzalendo wa kweli (Sio uzalendo wa porojo).

Kama walivyokwenda kwa Mangula.
Atakwenda mbunge wa huko nadhani unamjua!
 
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.

Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.

Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee pendekezo lako litakufanya ugombane na Spika! Nadhani umenielewa.
 
Umerogwaa wewe, hizo hela za posho ni za kununua tisheti na kofia na khanga za kuhonga wana ccm, uchaguzi umefika
 
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.

Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.

Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Siti ya mbele hapa
 
johnthebaptist,

Pamoja na tofauti za kiitikadi na vyama, huu uzi naunga mkono hoja.

Wabunge, makatibu wakuu, wakurugenzi, maofisa toka taasisi chini ya hizo wizara, madereva, waandishi wa habari n.k wote hawa wanaweza kuwa chanzo cha kueneza coronavirus siyo Dodoma tu bali nchi nzima.
 
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.

Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.

Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Upande ule unapinga kila kitu ilimradi wawe wamepinga watakubali kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri,tunalifanyia kazi!

Back
Top Bottom