johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa sana bwashee...... Siasa zina muda wake lakini maisha yetu kama binadamu ni muhimu zaidi!johnthebaptist,
Pamoja na tofauti za kiitikadi na vyama, huu uzi naunga mkono hoja.
Wabunge, makatibu wakuu, wakurugenzi, maofisa toka taasisi chini ya hizo wizara, madereva, waandishi wa habari n.k wote hawa wanaweza kuwa chanzo cha kueneza coronavirus siyo Dodoma tu bali nchi nzima.