johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Atatumwa CAG kufanya special audit!Hapo hatuokoi posho
Maana utaambiwa bando lilinunuliwa kwa garama ambazo hujawahi kusikia
Utasikia nilitumia mafuta kufuata mtandao wa intanet kwa hiyo garama ziliongezeka
Atakwenda mbunge wa huko nadhani unamjua!Ningeshauri Rais Na Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, waende kumjulia hali na kujua changamoto anazopitia mgonjwa wetu wa Corona huko Arusha. Kuonesha uzalendo wa kweli (Sio uzalendo wa porojo).
Kama walivyokwenda kwa Mangula.
Bwashee pendekezo lako litakufanya ugombane na Spika! Nadhani umenielewa.Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa sana bwashee!Bwashee pendekezo lako litakufanya ugombane na Spika! Nadhani umenielewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] CAG wa tanzania au wa huku malawiAtatumwa CAG kufanya special audit!
Siti ya mbele hapaNajua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Upande ule unapinga kila kitu ilimradi wawe wamepinga watakubali kweliNajua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante mheshimiwa!