johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa sana bwashee...... Siasa zina muda wake lakini maisha yetu kama binadamu ni muhimu zaidi!johnthebaptist,
Pamoja na tofauti za kiitikadi na vyama, huu uzi naunga mkono hoja.
Wabunge, makatibu wakuu, wakurugenzi, maofisa toka taasisi chini ya hizo wizara, madereva, waandishi wa habari n.k wote hawa wanaweza kuwa chanzo cha kueneza coronavirus siyo Dodoma tu bali nchi nzima.
Uchaguzi gani bwashee?!Umerogwaa wewe, hizo hela za posho ni za kununua tisheti na kofia na khanga za kuhonga wana ccm, uchaguzi umefika
Weeeeeee nani atachangia hoja wakati posho hakuna. Kila moja atajifanya busy na mambo yake.Wafungue group la whatsapp la bajeti admin wanampa spika kisha bajeti ijadiliwe kwenye group na mabilioni yataokolewa.
Nashindwa kujua mhuni halisi ni nani kati yako na wazazi wako.Aende Mbowe na kundi lake la wahuni
Kwani mwenge ni wa kitaifa ? Unakimbizwa na uvccm? Alafu kila mbunge si anakula kama mil 10 kwani hawana laptop mpaka bunge liwanunulie? Hoja yako kama vile haijakaa vizuriiNajua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona una tafuta watu maneno?Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha itakayookolewa kutoka zile " posho za kukaa" nk zikawasaidie watanzania wanyonge katika mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugai amewanunulia computer wabunge wote hilo halina mjadala!Kwani mwenge ni wa kitaifa ? Unakimbizwa na uvccm? Alafu kila mbunge si anakula kama mil 10 kwani hawana laptop mpaka bunge liwanunulie? Hoja yako kama vile haijakaa vizurii
We posho ndo kipaumbele chetuNajua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.