Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ana kisirani Sana huyu jamaa..Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka .
Sio kwamba anaonekana frustrated, jamaa kapagawa kweli, huyu mjomba alikuwa na maisha makubwa sana, kapiga hela za kumtukuza MTUKUFU mpaka basi, sasa kila akiwaza yajayo ni kama haelewi hivi.Anaonekana yuko frustrated na asipoangalia hiyo nafasi inaweza kumponyoka.
Hapa umejitahidi kupunguza udini, hongera mkuu maana ungeweza kutetea kama unavyopenda kufanya.Dr Abbas anaipunguza speech ya rais katika tafsiri anayoitaka yeye. Rais kasema vyombo vya habari yeye anasema online TV tu.
Huu ni ukaidi
Waonye maana bavicha wamepora kazi ya MATAGAHakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Kumbe kuna wakati unasema kweli bwaasheee?!!!Huyu jamaa alibebwa sana na hayati Magufuli.
Wakati wote bwashee!Kumbe kuna wakati unasema kweli bwaasheee?!!!