Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh Heeee!Umemsakama as if wewe ndo unaongea na Rais. Lakini mwenye Common Sense anajua tu nia yako kutukana JPM nk. Mnakuwa watabiri wakati wenzenu lazima waulize kwanza mana kuna visheria. Akili ya Abbasi Ni kubwa sana kuliko wewe unayekurupuka. Subira mkuu. Geduld bring Rosen und In der Ruhe liegt die Kraft. Otherwise mind your own business. Ukitii sheria wala hutawahitaji hawa watu.