Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
yule aliyesema wamchome Lissu sindano pyuuu ni dugu moja na huyo na wote ni wapwa wa jiwe
sijui kwanini mnamtetea huyu Katibu wa fedha wakati mwenzao wa Bandari kakutwa nyunbani kwenye Begi uvunguni na Dola 1.6m ambazo ni sawa na Bilioni 3 za kiTZ
NaamSawa hapa nimekupata, kwa hiyo kuna Kheri na Dotto?
Hapana, huyu ni wa hazina
Ni Dotto James MgoshaNashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
Kifupi, Mwenyekiti wa UVCCM anaitwa "HERI JAMES MAGUFULI" na ndio aliosema wampige sindano ya sumu Tundu Antipas Lissu, huyu anaesemwa hapa kwenye thread ni Katibu Mkuu Hazina anaitwa "DOTTO JAMES MAGUFULI". Ni mtu na mdogo wake.Anhaa! Nimeelewa
Huyu anatuhumiwa kushiriki kwenye wizi wa 96 billion wakati mjomba akiwa mahtuti. Report itadhihirisha kama ni majungu au ni kweli. Kama ni kweli, mahali pake sahihi ni gereza la Kitai.Kwani anadhambi gani bwashee
Kifupi, Mwenyekiti wa UVCCM anaitwa "HERI JAMES MAGUFULI" na ndio aliosema wampige sindano ya sumu Tundu Antipas Lissu, huyu anaesemwa hapa kwenye thread ni Katibu Mkuu Hazina anaitwa "DOTTO JAMES MAGUFULI". Ni mtu na mdogo wake.
Kikazi walikua hawajitambulishi kwa hilo jina lao la mwisho, ili kwa wasiojua waendelee kutokujua kwamba wao ni watoto wa Dada yake Marehemu.
Ndio yule wa sindayo pfuyuuuuuuuuu?
Nashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
Msaidie kwanza arudishe bulungutu alilo kwapua.Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Jizi Hilo,jela inamhusuAmewakosea nini Dotto James hadi aende jela?
Haponi huyu kwa mama we subiri,yalikuwa yanajidai yanasali kumbe ni majiziYule aliyesema wamchome Lissu sindano pyuuu ni dugu moja na huyo na wote ni wapwa wa jiwe.
Sijui kwanini mnamtetea huyu Katibu wa fedha wakati mwenzao wa Bandari kakutwa nyunbani kwenye Begi uvunguni na Dola 1.6m ambazo ni sawa na Bilioni 3 za kiTZ.
Kwani lazima ateuliwe kuwa mbunge? Kwani ni lazma ahongwe nafasi?Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!