Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Wee nawe huyu anatakiwa apelekwe Segerea haraka iwezekanavyo!
 
Yaani badala ya kutulia kusubiri kutumbuliwa unakuja kujipa promo
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Bado Kanda pendwa mnaota kuteuliwa tuu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Kifuta Jasho??? amini akili za baadhi ya Watz zimejaa funza
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
😆😆😆
 
apewe kifuta jasho cha ubunge. Aisee hii Tanzania ni ngumu kuishi
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom