Wee nawe huyu anatakiwa apelekwe Segerea haraka iwezekanavyo!Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Bado Kanda pendwa mnaota kuteuliwa tuu?Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani ni mtt wa Magufuli au mdogo wake?Nashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
Msiandike upotoshaji, Kama hujui kitu nyamaza kuwa msimaji. Yule anaitwa heri James ni mwenyekiti UVCCM.Nop yule ni Henry James katibu wa uvccm nadhani
Haitwi DOTO JAMES MAGUFULI, yule NI mtoto wa Dada Yake Magufuli hivyo hawezi kuitwa Magufuli.Nashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
Sawa ila ni spelling tu nimekosea nitajirekebisha...Msiandike upotoshaji, Kama hujui kitu nyamaza kuwa msimaji. Yule anaitwa heri James ni mwenyekiti UVCCM.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Yaani ubunge ni kifuta jasho? Uyo Dotto James anapaswa kuwa jela muda huu sio bungeni.
Yaani unaona kuandika Katibu badala ya mwenyekiti NI kukosea spelling kweli?Sawa ila ni spelling tu nimekosea nitajirekebisha...
Sema nini pia nawewe huna mamlaka ya kumpangia mtu awe mwandishi au msomaji humu jf.
Nashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
Nishaelewa na kujirekebisha... Ila naona unataka kuleta ligi tu as if wewe ni perfect Sana ehee..Yaani unaona kuandika Katibu badala ya mwenyekiti NI kukosea spelling kweli?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kifuta Jasho??? amini akili za baadhi ya Watz zimejaa funzaDr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Dotto james anapaswa kuwa mahabusu dakika hiiYaani kwa kutuibia kote huko tumpongeze kwa kumpa Ubunge! Hapo Yohana sikubaliani na wewe kwa hilo. Ashughulikiwe tu kwa kutakatisha fedha.
πππDr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Hata Makamu wa Rais kasema hiyo siyo kazi ya mjomba tenaBila shaka Dotto James ni wewe na unataka uondoke hazina kwa heshima wakati umeshaharibu.
Subiri ripoti ya mama itoke tuone unatokaje hapo juu.
Mkuu mtoto wa dada (mpwa) atachukuaje jina la kwa wajomba kua ndio la ukoo. Ama ni matrilineal.Nashangaa kwanini hakuna anae malizia jina kamili la huyo Katibu Mkuu Hazina, anaitwa "DOTO JAMES MAGUFULI".
aka comrade heri,,Sindano pyaaaaaa ni Kheri James aka Erick Ngambeki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.