Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

Huyo anapswa awe Segerea muda huu. Ni mwizi tena jizi lenye kiburi na dharau.
 
hakuna kanuni ya kifuta jasho, kinachotakiwa ni usafi na uchapakazi wako ndiyo kitakupatia returns zako.
 
hakuna kanuni ya kifuta jasho, kinachotakiwa ni usafi na uchapakazi wako ndiyo kitakupatia returns zako.
Haya bhana mbona Halima Mdee na wenzake mliwapa kifuta jasho?!!
 
Labda kama itathibitika kuwa mkosa vinginevyo siyo vizuri kumshuku mtu kwa makosa ambayo hajatuhumiwa.

Yeye naye kama Mtanzania ana haki ya kuteuliwa na kutumikia waTZ bila kujali ukaribu wake Mwendazake.

Hivyo nazani tuwe na subira iwapo kupitia taarifa ya ukaguzi itapelekea kuwa na tuhuma na hatimae kwenda Mahakamani na kuthibitishwa kuwa mkosa hapo itakuwa sawa kumshangaa lakini kwa sasa tunapaswa kum presume innocent.
 
Wee naye Yohana unataka tu kumchoresha mwenzio anangwe tu humu kwanini usipotezee!
 

Kwani mzee mgaya anasemaje?
 
Wasukuma washaamka
 
Watoto wa dada yake au kaka yake?
 
Mmeanza kutajana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…