kwani lazima apewe kitu,si anaweza tuu kuwa uraiyani afanye mambo yake mengine akisubiri labda kama kuna uchunguzi flan hivDr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Uchunguzi wa nini bwashee?kwani lazima apewe kitu,si anaweza tuu kuwa uraiyani afanye mambo yake mengine akisubiri labda kama kuna uchunguzi flan hiv
Tena ashukuru mpak muda huu yuko uraiani.Amewakosea nini Dotto James hadi aende jela?
Noo, huyu kwa sasa ni suspect wa ubadhirifu wa mali/ pesa za umma.lakini kwa sasa tunapaswa kum presume innocent.
Kwani hawezi tu kwenda kupumzika? Wewe vipi wewe?Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani katika mazingira haya ya mabadiliko ya uongozi wa juu, Rais anateua wabunge kumi? Kama ndio, je wale wa mtanguliz wake inabidi waachie ngazi?Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na zama zake.
Maendeleo hayana vyama!
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.