Kila Ubaya utalipwaWanafanya kazi kwa matakwa ya bosi wao ili kumfurahisha
Kila mtu ana boss wake, Mungu pekee ndiye hana boss. Tumeona Tume ua Uchaguzi ya Kenya inavyoteuliwa na boss na kumsikiliza boss, kura zikapigwa 4-3 lakini wachache ndiyo wakashinda. Wewe una shida na Shoza kwa kukukatalia hoja zako za kigaidi au kikabila, nenda Kenya ujifunze unyenyekevu.Wanafanya kazi kwa matakwa ya bosi wao ili kumfurahisha
Hawa jamaa ingekuwa nchi kama Kenya tungekuwa tulishaanua matanga yao siku nyingi! Ni upumbavu mtupu!Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa rafiki yake Lipumba kwa kutumia akaunti binafsi ya raia , kuna uvumi kwamba Mutungi alipewa 10% ( hajawahi kukanusha ), sasa mtu kama huyu ama Msaidizi wake Sisty Nyahyoza, ambaye hajawahi kuficha mapenzi yake kwa ccm hawafai kuendelea kukalia ofisi hii nyeti ya Umma.
Iko wazi kwamba vyama vya siasa kwa kipindi cha miaka 6 chini ya Utawala wa Magufuli vilipigwa marufuku kufanya shughuli zote za kisiasa kinyume kabisa cha Katiba ya nchi na kinyume cha Sheria za vyama vya siasa , lakini Mutungi akiwa mlezi wa vyama hivyo na huku akijua kwamba sheria za nchi zinavunjwa hakuwahi kukemea , aliamua kuufyata na kunyamaza , kiongozi kama huyu muoga anasubiri nini kwenye ofisi hii?
WANATEKELEZA MAAGIZOMaadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa rafiki yake Lipumba kwa kutumia akaunti binafsi ya raia , kuna uvumi kwamba Mutungi alipewa 10% ( hajawahi kukanusha ), sasa mtu kama huyu ama Msaidizi wake Sisty Nyahyoza, ambaye hajawahi kuficha mapenzi yake kwa ccm hawafai kuendelea kukalia ofisi hii nyeti ya Umma.
Iko wazi kwamba vyama vya siasa kwa kipindi cha miaka 6 chini ya Utawala wa Magufuli vilipigwa marufuku kufanya shughuli zote za kisiasa kinyume kabisa cha Katiba ya nchi na kinyume cha Sheria za vyama vya siasa , lakini Mutungi akiwa mlezi wa vyama hivyo na huku akijua kwamba sheria za nchi zinavunjwa hakuwahi kukemea , aliamua kuufyata na kunyamaza , kiongozi kama huyu muoga anasubiri nini kwenye ofisi hii?
Watavuna wanachopandaWANATEKELEZA MAAGIZO
Kwenye nchi nyingine angekamatwaKweli kabisa.....
CHADEMA msitake kutuendesha EBOMaadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa rafiki yake Lipumba kwa kutumia akaunti binafsi ya raia , kuna uvumi kwamba Mutungi alipewa 10% ( hajawahi kukanusha ), sasa mtu kama huyu ama Msaidizi wake Sisty Nyahyoza, ambaye hajawahi kuficha mapenzi yake kwa ccm hawafai kuendelea kukalia ofisi hii nyeti ya Umma.
Iko wazi kwamba vyama vya siasa kwa kipindi cha miaka 6 chini ya Utawala wa Magufuli vilipigwa marufuku kufanya shughuli zote za kisiasa kinyume kabisa cha Katiba ya nchi na kinyume cha Sheria za vyama vya siasa , lakini Mutungi akiwa mlezi wa vyama hivyo na huku akijua kwamba sheria za nchi zinavunjwa hakuwahi kukemea , aliamua kuufyata na kunyamaza , kiongozi kama huyu muoga anasubiri nini kwenye ofisi hii?
Chadema ni WananchiCHADEMA msitake kutuendesha EBO
Ndiyo CHADEMA ni wananchi msituchezee sisi raia
Huna hojaNdiyo CHADEMA ni wananchi msituchezee sisi raia