KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
America nadhani kama hawajapitisha ndio wanapush hii. Ni baada ya matukio ya wanaume kupigwa kuzidi, mwanaume kakuza mtoto for 30+ years halaf inakuja someka si wake.Habari wakuuu..,....
Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani......
Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu......
Kwa hali ilipofikia sio tena kufumbiana macho tuambiane ukweli wa mambo.........
Hii ni dhuruma kubwa inafanyika lakini watu wanaiona ni kawaida.......
Hili pendekezo Tu......
NB;
Mzee wa miaka 62 ajitoa uhai baada ya kugundua wanae watano aliowalea sio wa kwake......imetokea huko Kenya....
Kwel mkuu ,unashangaa unapakaziwaπUkishaona mama mtu kila saa analazimisha kuwa mtoto kafanana na baba yake , jua kabisa kuna mtu kapigwa za pua.
π€£π€£π€£π€£Ukishaona mama mtu kila saa analazimisha kuwa mtoto kafanana na baba yake , jua kabisa kuna mtu kapigwa za pua.
Yanga bingwaaaYANGA BINGWA
Ujinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?Kwa nchi za wenzetu ni haki na huwa inafanyika sana tu hapa kwetu sijui kwanini mpaka sasa bado tunafichana fichana
Huu ni msiba mzito ndugu yanguNaunga mkono hoja.
Ndugu tema mate chini ndugu yangu......Ujinga mtupu mtu kama humwamini.kia kwa miav ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Kwa kweli wanawake wenye roho za kishetani wanatufanyia sana ushetani kwenye hili....dah!!πππHii wazo lako mbona tayari huko Marekani Kuna baadhi ya States wameshalipitisha na watu wanapima DNA mara tu mtoto anapozaliwa hili ku-confirm paternity.
Kwa hapa kwetu haiwezekani kabisa kupitishwa na Tena kwa sababu za kipuuzi sana eti "hili kuepusha migogoro ndani ya familia" shenzy kabisa na matokeo yake wanawake hiyo advantage kuwabambikia watoto najisi waume zao.
Wamarekani wajinga tu hata ndoa zao za mikatabaHii wazo lako mbona tayari huko Marekani Kuna baadhi ya States wameshalipitisha na watu wanapima DNA mara tu mtoto anapozaliwa hili ku-confirm paternity.
Kwa hapa kwetu haiwezekani kabisa kupitishwa na Tena kwa sababu za kipuuzi sana eti "hili kuepusha migogoro ndani ya familia" shenzy kabisa na matokeo yake wanawake hiyo advantage kuwabambikia watoto najisi waume zao.
Basi kwa hii comment yako unajiona una akili wakati wewe ndio kubwa jinga kabisa... Sidhani kama hata unajua madhara ya pertenity fraud....Ujinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Kwa taarifa yako kwetu kwa upande wa kaka tuna watoto wawili wazungu.mapacha wakati sisi weusi tulikubali kama watoto wetu kuwa kitanda hakizai haramuNdugu tema mate chini ndugu yangu......