Wewe akili huna na bila shaka yawezekana humjui baba yako mzazi na mazingira uliyokulia yanajionesha kupitia hizi comment zako... Au yawezekana wewe ni mmoja ya wanaume ambaye mmezoea kuwapa mimba wake za watu na mna watoto wenu kwenye ndoa za watu na ndio maana hii mada imekuchoma sana.Wamarekani wajinga tu hata ndoa zao za mikataba
Waafrika tunaamini kitanda hakizai haramu
Huo upumbavu ubakie huko huko marekani
Wewe ndio akili huna mtoto umelea miaka 30 unaambiwa sio wako unawaka akili zimo? Cheti cha kuzaliwa kinasomeka jina lako kesi ndogo hiyo mbonaWewe akili huna na bila shaka yawezekana humjui baba yako mzazi na mazingira uliyokulia yanajionesha kupitia hizi comment zako... Au yawezekana wewe ni mmoja ya wanaume ambaye mmezoea kuwapa mimba wake za watu na mna watoto wenu kwenye ndoa za watu na ndio maana hii mada imekuchoma sana.
Kwa huo ujasiri wao una uwezo wa kuishi hata jahanamKwa taarifa yako kwetu kwa upande wa kaka tuna watoto wawili wazungu.mapacha wakati sisi weusi tulikubali kama watoto wetu kuwa kitanda hakizai haramu
Tukasema hao watoto wanafanana na bibi mzaa bibi wa bibi wa bibi alikuwa mzungu tukataifisha .Tukawa tunakisubiri kitokee kidume koko kijitokeze kiseme hao ni watoto wake tukionyeshe cha mtema kuni.Tukasema hakuna cha DNA wala nini ni watoto wetu wa ndani ya ndoa
Tunafurahi kwenye familia yetu tuna wazungu watoto wetu
Kitendo Cha serikali kusema eti kikitoa majibu ya kweli ya DNA test kitapelekea ndoa nyingi kuparanganyika, hapo ni kuwapa uhuru wa Moja kwa Moja wanawake kuchepuka watakavyo na kisha kuwaleta watoto wa nje kwenye ndoa zao na kuwalazimisha waume zao wabebe majukumu yote ya malezi ya watoto hao bila bugudha ya aina yoyote ile.Kwa kweli wanawake wenye roho za kishetani wanatufanyia sana ushetani kwenye hili....dah!!😂😂😂
Mbaya zaidi siku za mbeleni baada ya huyo mototo kuwa mtu mzima na huyo baba yake mlezi(social father) kuwa ameshajichokea... Mama mzazi wa huyo dogo atamkutanisha nwanae na baba yake mzazi na yeye ndio anaenda kufaidi matunda ya huyo dogo, huku huyo baba mlezi akibaki kwenye depression....Hii wanawake ni chungu mno kwao. Ikipitishwa ndoa hazitadumu nyingi mno.
Kuna jamaa mtoto wa baba mdogo mke kazalishwa na ka msela tu na anamsomesha shule za ghalama sana daah Yani siku akijua ataua mtu
Nasi ishatuwia ngumu kumwambia asee
Wewe utakuwa na makamasi kichwani badala ya ubongoWewe ndio akili huna mtoto umelea miaka 30 unaambiwa sio wako unawaka akili zimo? Cheti cha kuzaliwa kinasomeka jina lako kesi ndogo hiyo mbona
Hakuna cha DNA wala nini hao ni watoto wako full stop. Unaenda kupima DNA ya nini si ujinga tu huo
Shida kubwa ni hata kwenye mahafari ya darasa la Saba jamaa alienda maana huyu bro aliyezalishiwa alikuwa kazini siku hiyo!! Nina uhakika mtoto atajurishwa muda sio mrefu kuwa huyu ndo babako na vile mtoto ni ke hatacheleweshwa kuambiwaMbaya zaidi siku za mbeleni baada ya huyo mototo kuwa mtu mzima na huyo baba yake mlezi(social father) kuwa ameshajichokea... Mama mzazi wa huyo dogo atamkutanisha nwanae na baba yake mzazi na yeye ndio anaenda kufaidi matunda ya huyo dogo, huku huyo baba mlezi akibaki kwenye depression....
Unalea mtoto kwa taaabu, Halafu baada ya miaka mitano mama mtu Tena kwa kujiamini kabisa anakwambia "huyu mtoto sio wako" na hapo unakuta umejinyima kufanya mambo Kibao... Halafu kirahisi rahisi tu unakuja kuambiwa huyo mtoto hakuhusu serious?Mkuu hiyo italeta maafa mazito katika Taifa! Twende hivi hivi tu,Mwanamme unachopaswa kufanya ni kuhakikisha mtoto akizaliwa anaandikishwa kwa Jina lako.
Wewe mtambue hivyo hivyo kuwa ni mtoto wako.
Labda kama mke alizaa na Muhindi au Mzungu au Albino na kisha akazaliwa mtoto wa jinsi hiyo,hapo ni Talaka bila rejea.
Mtoto si suala la imani, hiyo sio dini . Ni kiumbe hai na ni tangible. Proof ni muhim sanaUjinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Ni sawasawa na kupewa gari la uwizi wakati alienunua ni mwingine.Mkuu hiyo italeta maafa mazito katika Taifa! Twende hivi hivi tu,Mwanamme unachopaswa kufanya ni kuhakikisha mtoto akizaliwa anaandikishwa kwa Jina lako.
Wewe mtambue hivyo hivyo kuwa ni mtoto wako.
Labda kama mke alizaa na Muhindi au Mzungu au Albino na kisha akazaliwa mtoto wa jinsi hiyo,hapo ni Talaka bila rejea.
Basi wakati wanamfanyia huo ukatili wa kisaikolojia wawe making sana huyo mtoto wao asije akapewa chocolate na baba yake mlezi(social father) ambayo ndani yake imetiwa Pollonium 201 akaja kufa baada ya miezi tisa baadae.Shida kubwa ni hata kwenye mahafari ya darasa la Saba jamaa alienda maana huyu bro aliyezalishiwa alikuwa kazini siku hiyo!! Nina uhakika mtoto atajurishwa muda sio mrefu kuwa huyu ndo babako na vile mtoto ni ke hatacheleweshwa kuambiwa
kumchukua na kumuamini ni vitu viwili tofauti jua kutofautishaUjinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Kwa hiyo wewe zoa zoa tu wanawake bila kuwaamini?kumchukua na kumuamini ni vitu viwili tofauti jua kutofautisha
Ujinga wewe garbage in garbage out unapooa kuwa makini sio unaoa kienyeji au kuzaa hovyo na mi garbage in yako kisha unakuja Sumbua mtoto kupima DNAMtoto si suala la imani, hiyo sio dini . Ni kiumbe hai na ni tangible. Proof ni muhim sana