Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Kuna kitu hujui mtoto mfano wa siku moja katupwa jalalani kadi ya kiliniki ya huyo mtoto lazima ifunguliwe ili apate chanjo na huduma za kiliniki nk na kadi ya kliniki lazima jina liandikwe mama yake nani hakuna mahali wataandika asiyejulikana

Hivyo hata birth certificate baadaye atapata ikisoma jina la huyo aliyemuokota jalalani lakini wazazi huambiwa kabisa msimueleze siri mtoto kama mlimuokota ajue tu kuwa wao ndio babaye na manage

Hivyo DNA test yaweza kuwa na matokeo mabaya kwa mtoto kama huyo sababu wazazi wanakuwa na siri vifuani mwao walizomeza muda

Kwa hiyo wewe kama unataka DNA test sio kutest to kama huyo baba yako ni baba yako au huyo mama yako ni mama yako? Waweza pata mshangao wa karne unayemwita baba yako au mama yako miaka wote sio wazazi wako baba yako na mama yako ni jalala ulikookotwa

Walikuficha siri ila kuna methali kiswahili mwana kulitafuta lazima alipate
 
bora huyo. wa mjomba wangu watatu wote ngoma za nje. na zaidi mke wake oyaoya. anagawa kinoma. mi mwenyewe nilimtega kwa namba nyingine akajaa.
Issue kubwa ni mkusanua Yani yaani ngumu kama Nini asee. Jamaa Huwa anasema mi siwezi somesha mtoto wangu kayumba school!! Daah tuna Baki mcheki halafu mke wake kazaa na boda tu zamani kalikuwa karusha season ti kwenye flash mke akajaa Hadi kuzalishwa
 

Umeelewa vizuri tulichokua tunajadili na huyo niliyemnukuu lakini?
 

Muda mwingine mwanamke anabambikiza mimba kwa mwanamme mwingine ni kwa sababu anakuwa hajui mimba ni ya nani na pia mwanamme anakimbia matunzo ya mtoto kwa sababu hana uhakika kama ni mtoto wake.

urazima wa kupima DNA itasaidia pakubwa mno. Watoto wa mtaani wataisha kabisa
 
Kisa kuna mwanaume hajitambui basi haileti justification ya wanachokifanya hao wanawake kumbambikizia mwanaume mwingine mimba.
Kwani akamlea mtoto mwenyewe au akawa muwazi kuna shida gani!??
Two wrongs doesn't make a right.
 
Usichanganye mada mkuu.
Scenario inayoelezwa hapa ni mfano wewe umeoa ukawa una mke akawa mjamzito ukawa unajua ujauzito ni wako na ukalea ujauzito hadi mtoto anazaliwa.
Kumbe kipindi chote unalea mimba kumbe sio yako umebambikiziwa.
Hii ndio scenario inayoelezewa.
Scenario unayoleta wewe inajulikana baba na mama wamekaa chini wakaamua kukiokoa kiumbe.
 
USA asilimia 40+ ya DNA zina wakataa wababa. Jimbo la Florida baba kabla ya kusaini cheti cha mtoto,lazima huyo mtoto awe amepimwa DNA, mafeminist wa US hii sheria hawaitaki kuisikia.

Bongo huku unakuta demu mmoja anawanaume lukuki, wakumlipia kodi, wakumnulia matolea mapya ya simu na bundle, wakumlipia hela ya vikoba, wakumlipia mchezo wake wa majina matatu, wakumlipia mikopo yake, wakumvalisha nk na wote anawapa papuchi.Halafu mimba anangalia mwenye hela sana ndiye anayempa mtoto.
 
Sijui nicoment nini? Anyway AM PROUD TO BE MUSLIM
 
Bongo Bado tumefocus kwenye ustawi wa mtoto na sio afya ya akili ya mwanaume.
Pia swala lisiwe kupima DNA Bali kuwe na taasisi ya kutunza hizo taarifa (sample) for emergency. Mfano limetokea tukio kama lile la Kenya shule kuungua utapataje majibu ya huwakika ikiwa mtoto umebambikiwa
 
Kuna mnachotutafuta nyie, sio bure!
 
Umesahau huwa Wana ZOBA moja kwa ajili Kwa ya kubambikizia Ujauzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…