KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #121
Hakika ndugu yangu......iliaminika hivyo kwa kuwa wema ulimalaki kwenye jamii na usaliti ulikuwa jambo la aibu na fedheha sio tu kwa mwanamke bali kwenye familia yake nzima..... tofauti na nyakati hizi usaliti na umalaya vimekuwa sifa mpaka mtu muaminifu na mtiifu anazusha mishangao kwenye jamii......Wao waliamini kitanda hakizai haramu, kwaiyo tuwaache kwanza
Kitanda hakizai haramu ilikuwa kwa wanandoa kabla hawajawa wana haramu......