Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Watu wapime DNA, kila wakati ndoa inapopata mtoto kabla mtoto hajakua wala kujitambua, mama mtu apeleke mtoto kwa baba yake mapema, na kama ni kulea kwa hiari mwanaume aliyesingiziwa mtoto ndiyo aamue mwenyewe.

Hii itasaidia kupunguza ukatili katika ndoa na familia pale ambapo mwanaume anahangaija kulea na baadae inakuja kugundulika mtoto si wake.

Pia itapunguza watoto wa mitaani pale ambapo watoto watafahamiana na wazazi wao mapema na wazazi kuanza kuwajibika juu yake.

Pia itasaidia wanawake kuwa waaminifu kwenye ndoa zao.

Pia itasaidia kulinda haki ya mwanaume katika ndoa maana huu uonevu umeenea Africa na watu wanaona kama ni hali ya kawaida na kumbe ni ukatili wa kijinsia.
Great comment from great thinker.

Nashukuru sana kaka kwa maoni yako maridhawa na yenye mantiki Pana sana na yenye faida.

Wasichokifahamu watu ni kwamba paternity fraud(utapeli wa uzazi) huwa unampa sana maumivu mwanaume pale anakuja kugundua baada ya miaka kadhaa kwamba ametumiq nguvu na jasho lake kulea Damu ya mtu mwingine bila ya yeye kujua. Na hapo ndipo mtu huwa anafanya maamuzi ya kinyama sababu ya kuvurugika kwa akili...

Mwanaume akifahamu tangu awali kwamba mtoto aliyezaliwa sio wake kamwe hawezi kuwa na hasira au mvurugiko wa akili kiasi Cha kufanya maamuzi ya kinyama, maana anakuwa Bado hajainvest chochote kwa huyo mtoto.

Ni bahati mbaya sana kwenye hili suala la kutafuta uhalali wa uzazi serikali zetu hizi zimeamua kuangalia maslahi ya mwanamke na mtoto huku zikipuuza kabisa athari zinazoweza kumkuta mwanaume kwa huu utapeli anaofanyiwa, nafikiri hii ni kwa sababu kwa Jamii yetu ya Sasa mwanaume anachukuliwa kama gogo la mti kiasi kwamba Hawezi kupata hisia zozote za maumivu na lolote baya likimkuta ni sawa tu.
 
Feminism inatumaliza wanaume!šŸ˜ž
 
Ukiongelea DNA utaambiwa kwahiyo huniamini
Hii huwa ni emotional blackmail, yaani anaplay victim kihisia Hili uone kama unamkosea sana vile unavyomtiria shaka, na wewe ukiweweseka tu kidogo atakupelekesha mpaka basi na mbaya zaidi mara kwa mara yeye ndio atakuwa ana kususpect wewe kwamba unatembea na wanawake wengine... Kwa muda mwingi utakuwa unautumia kumuhakikishia kwamba anachokihisi kwako sicho na hapo ndipo atakapoutumia huo uhuru kucheza mechi za ugenini bila wewe kushtuka, maana tayari amefanikiwa kukufanya wewe ndio ujihisi sio mwaminifu kwenye mahusiano yenu.
 
Ni kweli, lakini ni kama unajikita zaidi kwenye matokeo kuliko kuangalia chanzo cha tatizo kiongozi, niliuliza awali kwenye post yangu ya mwanzo kabisa, kama mwanamke anabambikia mwanaume mwingine mimba inamaana kuna mwanaume mwingine amempatia mimba kimagendo, sahihi? Sasa wakati tunataka kumlaumu na kumuona huyo mwanamke ana ushetani, huyu mwanaume inakuaje abaki salama bila kamisheni yake ya ushetani?

Wanaume wote wangejitambua unafikiri hao wanawake wangepata hizo mimba za kuwabambikia watu?
We jamaa hapo unachojaribu kutetea ni nini hasa? au wewe ni miongoni mwa wale mnaojiita ma equalists mnaopenda kulazimisha usawa mpaka kwenye ujinga wa mwanamke na kutaka mwanaume naye ahusike kwa namna yoyote ile?

Kwamba kwenye issue nzima ya paternity fraud mwanaume naye anabeba lawama au? Kwamba akikotombeshe yeye nje huko halafu lawama tuje tuzigawane huku ndani kisa aliyempa mimba ni mwanaume mwenzangu?

Nyie watetezi wa wanawake huwa mna matatizo sana kwenye namna yenu ya kufikiri
 
I

Ivi we una Wajina wanawake au unawaskia, mwanamke anaamua ni nani atazaa nae, anajua mwanaume aliyempatia mimba anajua kila kitu.

Kinachofanya mwanamke abambikize mimba ni masuala ya kiuchumi mwanamke akiona unahela na una uwezo wa kulea mimba vizuri na pia unaweza kulea mtoto vizuri basi anakubali kuolewa na wewe ila watoto anazaa na mwanaume mwenye muonekano ili apate watoto wazuri we kazi yako ni kulea na kuandikishwa jina Kwenye vyeti tu šŸ˜‚
Jamaa uliyemquate anaonekana ana ugeni mkubwa sana kwa wanawake, hajui chochote kabisa dual-mating strategy ya wanawake linapokuja suala la dating.

Hao ndio wanaitwa Bucks au white nights
 
Kuna kitu hujui mtoto mfano wa siku moja katupwa jalalani kadi ya kiliniki ya huyo mtoto lazima ifunguliwe ili apate chanjo na huduma za kiliniki nk na kadi ya kliniki lazima jina liandikwe mama yake nani hakuna mahali wataandika asiyejulikana

Hivyo hata birth certificate baadaye atapata ikisoma jina la huyo aliyemuokota jalalani lakini wazazi huambiwa kabisa msimueleze siri mtoto kama mlimuokota ajue tu kuwa wao ndio babaye na manage

Hivyo DNA test yaweza kuwa na matokeo mabaya kwa mtoto kama huyo sababu wazazi wanakuwa na siri vifuani mwao walizomeza muda

Kwa hiyo wewe kama unataka DNA test sio kutest to kama huyo baba yako ni baba yako au huyo mama yako ni mama yako? Waweza pata mshangao wa karne unayemwita baba yako au mama yako miaka wote sio wazazi wako baba yako na mama yako ni jalala ulikookotwa

Walikuficha siri ila kuna methali kiswahili mwana kulitafuta lazima alipate
Mbona unajaribu a very rare case kwenye mjadala mpana kama huu?

Yaani ndogo chaaache kama hiyo unayosema hapa ndio unataka kuitumia kama point of objection kuwepo kwa paternity test kwenye jamii yetu?? Akili zako ni ndogo sana
 
Habari wakuuu..,....

Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani......

Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu......

Kwa hali ilipofikia sio tena kufumbiana macho tuambiane ukweli wa mambo.........

Hii ni dhuruma kubwa inafanyika lakini watu wanaiona ni kawaida.......

Hili pendekezo Tu......

NB;
Mzee wa miaka 62 ajitoa uhai baada ya kugundua wanae watano aliowalea sio wa kwake......imetokea huko Kenya....
Wanaume Wengine hawana uwezo wa kuzaa so wanakubaliana wife atafute mimba.
 
Mbali na hayo pia heshima ya wake kwa waume zao ilikuwepo ya kiwango kikubwa japo kabambikiwa mzigo was mtu. Ila sahv unabambikiwa mtoto na bado mwanamke anakuoneshea dharau na kiburi
Hapo mwisho...

Kinachouma zaidi unakuta Bado anatetewa na watu/jamii kwamba eti wewe ndio chanzo Cha yeye kuwa na hizo dharau na kiburi, siku hizi imezuka kasumba Moja ya kishenzi sana kwamba mwanamke akianza tabia za ajabu ajabu au akifanywa maamuzi ya ovyo unaambiwa wewe mumewe ndio chanzo, yaani imekuwa ni kama vile wao hawawezi kufanya upuuzi kwa utashi wao wenyewe... Binafsi Mimi hii kasumba huwa inanikera sana na inanipa chuki dhidi yao
 
We jamaa hapo unachojaribu kutetea ni nini hasa? au wewe ni miongoni mwa wale mnaojiita ma equalists mnaopenda kulazimisha usawa mpaka kwenye ujinga wa mwanamke na kutaka mwanaume naye ahusike kwa namna yoyote ile?

Kwamba kwenye issue nzima ya paternity fraud mwanaume naye anabeba lawama au? Kwamba akikotombeshe yeye nje huko halafu lawama tuje tuzigawane huku ndani kisa aliyempa mimba ni mwanaume mwenzangu?

Nyie watetezi wa wanawake huwa mna matatizo sana kwenye namna yenu ya kufikiri
Not even wrong sir
 
Hebu tulieni huko mlee watoto wenu. Akizaliwa kwenye mji wako, basi ni wakwako.
Endelea kuficha hivyo hivyo ila siku ukibainika, ukipona sana ni kuivunja familia yako, yaani hayo yatakuwa ni madhara yenye haueni kwako.
 
Ujinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
DNA ipimwe pale penye uhitaji,au ikitokea baba au mtoto akaomba DNA siyo mbaya!!
 
Back
Top Bottom