Nadhani tatizo kubwa hapa ni kudhani kuwa ili mtu ajifunze lugha ni lazima lugha hiyo itumike kama lugha ya kufundishia. Advocates wa Kiswahili wanachosema ni kuwa tutumie Kisw kama lugha ya kufundishia lakini pia Kiibgereza kifundishwe vizuri kama lugha kwa wanafunzi wetu.Bila shaka mnataka kujifungia ndani ya box. Mawazo kama haya kutolea na watu ambao hawajawahi kutoka nje tz. Sisi tunaoishi nchi za watu tunapata sana tabu na Kiinglishi chetu cha kuunga unga. I wish tungekuwa tunatumia Kiinglishi in our daily communication from home to the business.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona wewe huna akili kabisa kwani technolojia haiwezi fundishwa kwa kiswahili jinga kweli wachina wanajua kiingereza? mbona wameenda mweziniUnawafundishia kiswahili alafu baada hapo utawatumiaje wakati huna teknolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tatizo kubwa hapa ni kudhani kuwa ili mtu ajifunze lugha ni lazima lugha hiyo itumike kama lugha ya kufundishia. Advocates wa Kiswahili wanachosema ni kuwa tutumie Kisw kama lugha ya kufundishia lakini pia Kiibgereza kifundishwe vizuri kama lugha kwa wanafunzi wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ukiwa hujui lugha ambayo si asili yako ni dhambi? ujue kiingereza kushinda kiswahi ili iweje kama naweza broken english tatizo iko wapi? wewe mtumwa wala huelewi usemalo..hizi hoja zinatokana na " frustrations " za baadhi ya viongozi ambao wana changamoto ya kuwasiliana kwa Kiingereza.
..Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa wahitimu wetu na idadi kubwa ya waTz hawazungumzi Kiswahili fasaha.
..Kwa hiyo hata hicho Kiswahili kinachopigiwa upatu nacho kina changamoto kubwa na nyingi.
..Kwa ujumla tunatakiwa kuboresha ufundishaji wa KISWAHILI na KIINGEREZA. wahitimu wetu wanatakiwa wazungumze lugha hizo mbili kwa ufasaha.
Haita kaa itokee hata siku moja asilani abadani watanzania milioni 55 wote waje kuishi huko uliko wewe na wenzio wachache mnaopata tabu kuongea kiingereza ! Idadi kubwa tutabaki Tanzania tukiwasiliana kwa lugha yetu tamu ya kiswahili ! 😎Bila shaka mnataka kujifungia ndani ya box. Mawazo kama haya kutolea na watu ambao hawajawahi kutoka nje tz. Sisi tunaoishi nchi za watu tunapata sana tabu na Kiinglishi chetu cha kuunga unga. I wish tungekuwa tunatumia Kiinglishi in our daily communication from home to the business.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ukiwa hujui lugha ambayo si asili yako ni dhambi? ujue kiingereza kushinda kiswahi ili iweje kama naweza broken english tatizo iko wapi? wewe mtumwa wala huelewi usemalo
Hivi hujui kuwa kuna wanafunzi wa Kisw wanapata PhD na wamesoma vitabu vya Kiingereza? Hata Wajerumani, Wajapani na Wachina wanasoma vitabu vya Kiingereza na lugha nyingine lakini wanatumia lugha zao kama lugha za kufundishia.
Sent using Jamii Forums mobile app
n
na mimi sikumaanisha kujua lugha fulani ni dhambi nilichokata ni kuwashambulia watanzania ambao hawajui kiingereza vizuri hilo ndo shida yangu na wewe na wengine wenye mawazo kama yako. mnataka kuwaaminisha watanzania kuwa kama hajui kiingereza basi si lolote katika uwanja wasomi