kiunzi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 514
- 369
Kuwepo na idara ya kusajili "Private bureaus of investigation"Tanzania Bureau of Investigation(TBI) ipo miaka mingi sana, ukienda ghorofa ya Saba wizara ya mambo ya ndani Dar utawakuta hapo wamejaaa na kazi wanapiga sanaaa.
Wa polisi ni ma CID, na wao wanafanya kazi nzuri sana.
Kama zile Private security co.