Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.

Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?

Unforgetable
Kumfananisha samata,Hashim ns Simba ni kumkosea heshma mondi,Bongo fleva haijafika mbali ila dogo anakomaa kuitangaza,lugha yakiswahili bado sana ila ni mondi ndio kinara wakuitangaza.Sasa hao unaomfananisha nao wametangaza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ndio anatangaza taifa kuliko boya yeyote unayemuheshimu wenyewe wanamuitaga Tanzanian artist
Mazee anatangaza Tanzania wapi? Are you kidding me? Huko Kisangani Kongo ndiyo hawaijui Tanzania mpaka wakatangaziwe? Kwa taarifa yako ile bendi ya mchiriku ya Jagwa imepiga sehemu zinazoeleka nje ya nchi kuliko huyu!
 
Afrika ndio ishamkubali na dunia ya muziki inatambua uwepo wake we endelea kukaza tu tukatae au tukubali that kid is representing us kuliko mtu yeyote tumpe support tu
Kama wewe uko tayari kuwakilishwa na mzinifu sawa, mimi simo!
 
Huyo jamaaa tumwacheni Tu anawa-outclass watu vibaya mno , naishaur serikali impe support kimya kimya mana wakifanya public kuna watu Wana roho mbaya Sana watamharibia kijana wa watu , hasa clouds na genge lao
Apewe diplomatic pass abebe mangada yake
 
Hail our Dick Ambassador!
nyie wanawake mna shida Nani kakuambia ni diamond pekee ana kula wanawake Sana, ni asilimia kubwa ya wanaume wapo hivyo hata bwana wako before hajakupata kapiga mechi Sana hata mzee magu ujana wake kautumia vizuri.
 
Siitangazii dunia kama anavoitangazia yeye! Kama wewe unaona yale ndio maisha ya kuishi binadamu mwenye akili zake basi either ni mtoto bado au ni mshamba wa kupindukia!
Wewe umeona wapi amejitangaza kwamba yeye anazini au media ndo zinafanya hivyo?
 
Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.

Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?

Unforgetable
Rais anaweza kumpa mtu yoyote pasi ya kidiplomasia,kando na wale walioanishwa na kanuni
 
Fact [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema we unapenda kuropoka vitu usivyojua ndomaana ukibanwa kidogo kihoja unashindwa kujitetea.
Ninaropkwa mimi wakati wewe unakaa na wazazi wako unaangalia muziki ya kinaDiamond ukionesha wna pombe mikononi na dada zetu waliovaa chupi na sigiria tu na bado unataka serkali impe diplomatic PP. wangepewa Akina JZ na Diddy kwanza kwao huko. Akiwa na.diplomatic PP akienda South hata kama atakamatwa na aunga basi hawezi kushtakiwa mpaka serikali ya TZ ikubali. Kuishauri serikali impe Diamond diplomatic PP ni sawa na wewe kusema kwamba ukikutana nae.Airport Chin na akikupa begi lake umbebee mpaka mupite Customs basi utambebea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…