Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Haahhaha ni ngumu yani ni ngumu mnoKwanini tusipambane kuyatokomeza kabisa?
Unaweza ukawa na point nzuri lakini fedha za kulipa ma-DC wote wa Tanzania ambao hawana kazi yoyote zitatoka wapi kama wazo zuri kama hili litatekelezwa?Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea.
Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake tunazipata private hospitals, kwa gharama kubwa mpaka Tsh 3500, watu wanaishia kurudi majumbani na kutafuna mizizi kama tiba mbadala.
Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea.
Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake tunazipata private hospitals, kwa gharama kubwa mpaka Tsh 3500, watu wanaishia kurudi majumbani na kutafuna mizizi kama tiba mbadala.
Kwa vile ni ulaji na uchumi wa wengineHaahhaha ni ngumu yani ni ngumu mno
Naam, hilo ndilo suluhisho la kudumuKwanini tusipambane kuyatokomeza kabisa?
Nimetoka maliza mseto asubuhi hii [emoji36]Hivi malaria bado ipo?
Nchi jirani wamewezaje? Na uchimi wetu tunakaribiana sana tuHaikubaliki hata kidogo, wagonjwa na ndugu zao waendelee kubeba mzigo wa matibabu ya malaria na majonzi ya kupoteza wapendwa wao, hasa wajawazito na watoto.
Wala haileti tija serikali kubeba mzigo huo wa gharama za matibabu. Suluhisho ni kutokomeza kabisa malaria, isiwepo! Fedha za serikali zitumike kugharamia miradi ya maendeleo, si ya malaria isiyoisha!
Tunafanyaje? Ni kuwamaliza mmbu kwenye mazalia yao kwa kutumia viuadudu toka hapa hapa nchini, si kutoka ulaya! Tutakuwa tumeua au kumaliza kabisa uzao wa mmbu, ni sawa na kuwahasi!
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Pole sana. Mara nyingi nikienda hosptali watanipima vyote na sio malaria. Nikiuliza wananijibu sio rahisi nikawa na malaria maana imepungua sanaNimetoka maliza mseto asubuhi hii [emoji36]
Sawa Kaka, ila wanasema imepungua...hasa Arusha
Na AbortionMarelia na UTI ni janga la nchi.
Ndio inayoua kuliko magonjwa mengine yote, hasa watoto chini ya miaka mitanoHivi malaria bado ipo?