Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea.
Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake tunazipata private hospitals, kwa gharama kubwa mpaka Tsh 3500, watu wanaishia kurudi majumbani na kutafuna mizizi kama tiba mbadala.