Pendekezo: Mbowe afukuzwe uanachama CHADEMA. Afulumushwe aende akaungane na vibaraka wenzake Chaumma.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,366
Reaction score
5,209
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
 
Una mawazo ya hovyo kabisa Mbowe unafahamu mchango wake CDM au umeambiwa na nani ujinga huu?!
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
nonsense 🐒
 
Nyie washamba mmekuja juzi mjini , mntaka kuongoza nchi ,nendeni mkachunge mifugo ndiyo fani yenu ..Mbowe mtoto wa mjini .
 
Siku ukija kujua Mbowe ndio mwenye chama chake ndio utajua wapangaji wanawezaje kumfukuza mwenye nyumba.
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Hawezi kufukuzwa kwa shutuma zisizo na uthibitisho. Wakati fulani demokrasia nayo inahitaji kuvumiliana na pia kushindana kwa hoja.
 
Aachwe tu, nafasi aliyonayo chamani haina influence...na pia kwasasa wengi tushagundua janja janja yake so hana uwezo tena wa kudhuru chama.
 
Kwa reputation na historia yake na chama, sidhani kama atafukuzwa na pia hakuna uthibitisho wa hizi tuhuma na pia hivi sasa ni kama amejitenga na siasa hivi
 
Wanamuogopa mzee mbowe

Tatizo chama kipo kwenye mikono ya wabangaizaji

Leo hakina ruzuku kabisa kinategemea michango ya Wananchi Masikini kujiendesha

Kwasasa chama kipo ICU kinapumilia mashine kwa ukata wa pesa🫎🫎🫎🫎🫎

Waende kumwangukia Baba yao Mzee mbowe 🤠🤠🤠
 
Back
Top Bottom