mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,317
- 9,260
Acha ujinga Chadema sio chama cha Mbowe mkuu, unadhani ingekuwa chama chake angeondoka? soma sheria za vyama, usifananishe Chadema na makanisa ya akina Mwamposa, Kakobe, Lusekelo na wengineo. Sasa kama ni hivyo na akina Makongoro wasemeje na CCM yao?Siku ukija kujua Mbowe ndio mwenye chama chake ndio utajua wapangaji wanawezaje kumfukuza mwenye nyumba.