Pendekezo: Mbowe afukuzwe uanachama CHADEMA. Afulumushwe aende akaungane na vibaraka wenzake Chaumma.

Hawezi kufukuzwa kwa shutuma zisizo na uthibitisho. Wakati fulani demokrasia nayo inahitaji kuvumiliana na pia kushindana kwa hoja.

Tatizo njaa imejaa chamani

Wanatengenezwa zengwe la kwenda kumgiribu Mzee mbowe washajua katua nchini !!wakapate kuchongeana kwafaida zao kwa pamoja 🫎🫎🫎
 
Japo simkubali, ila Mbowe ana busara. Kakaa kimya ni busara sana, kukaa kimya sio kila mtu anaweza.
Ni busara kuacha uongozi uliopo ufanye kazi ya siasa. Kungekuwa na mgogoro mkubwa kama Mbowe angeendelea kuzungumza na kujiweka kwenye public.
Wamuache Mzee wa watu, wasimchokoze chokoze. Ni kosa kumchokonoa, kumshambulia mtu aliyekaa kimya.
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Ndani ya Chadema HAKUNA kenge wala nyumbu wa kumfukuza Mzee Mbowe. Narudia HAKUNA!!!
 
Wewe mwana CCM unaumia nini Mbowe kufukuzwa chadema
Siwezi kuwa CCM habari iweje ila ukweli ni kwamba kama kuna mtu ambaye ni Chadema kwa kuzaliwa ni Mbowe ambaye alifilisiwa mali zake ili Chadema iendelee hivyo ukisikia mpumbavu anasema hovyo kuhusu Mbowe eti kauza CDM unachukia sana. Watakaouza CDM ni hawa vijana wa sasa ambao hawajui CDM imetoka wapi na kazi gani imefanyika kufika hapo.
 
Japo simkubali, ila Mbowe ana busara. Kakaa kimya ni busara sana, kukaa kimya sio kila mtu anaweza.
Ni busara kuacha uongozi uliopo ufanye kazi ya siasa. Kungekuwa na mgogoro mkubwa kama Mbowe angeendelea kuzungumza na kujiweka kwenye public.
Wamuache Mzee wa watu, wasimchokoze chokoze. Ni kosa kumchokonoa, kumshambulia mtu aliyekaa kimya.
Humkubali Mbowe kwa lipi.
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Niliwaambia watu kuwa mbowe ni uchafu mkubwa sana ndani ya chadema.
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Vipi Kamanda,kwani ugomvi wako na mwamba ni wa kichama ama ni wa binafsi zaidi?
 
Humkubali Mbowe kwa lipi.

Simkubali kwa kitendo chake cha kung'ang'ania madaraka kwa miaka mingi. Alipaswa kuwapisha na watu wengine kwa heshima, waendeleze pale alipoishia. Uongozi ni kupokezana vijiti.
 
Wanamuogopa mzee mbowe

Tatizo chama kipo kwenye mikono ya wabangaizaji

Leo hakina ruzuku kabisa kinategemea michango ya Wananchi Masikini kujiendesha

Kwasasa chama kipo ICU kinapumilia mashine kwa ukata wa pesa🫎🫎🫎🫎🫎

Waende kumwangukia Baba yao Mzee mbowe 🤠🤠🤠
unakula ugali wa baba yako bure, hasara tupu
 
Simkubali kwa kitendo chake cha kung'ang'ania madaraka kwa miaka mingi. Alipaswa kuwapisha na watu wengine kwa heshima, waendeleze pale alipoishia. Uongozi ni kupokezana vijiti.
Lakini si alifanya hivyo?
 
Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.

Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.

Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Hakuna haja ya kumfukuza kwani mwenyewe ameshajiweka pembeni wacha afanye yake na waliopo wafanye yao.
 
Hakufanya, alishindwa uchaguzi wake wa nne.
Uchaguzi ulifanyika na akashindwa na kukabidhi kiti kwa Lisu kwa amani na akakaa pembeni kama mwanachama wa kawaida na wala hajawahi kuingilia uongozi uliopo au amewahi. Sasa kwa kukaa kwake kimya mnaanza kumlaumu mnataka afanye nini?
 
Back
Top Bottom