Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Hujui kusoma.?Utamfukuza kwa sababu gani?
nonsense 🐒Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Hawezi kufukuzwa kwa shutuma zisizo na uthibitisho. Wakati fulani demokrasia nayo inahitaji kuvumiliana na pia kushindana kwa hoja.Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Acheni Ujinga
Una mawazo ya hovyo kabisa Mbowe unafahamu mchango wake CDM au umeambiwa na nani ujinga huu?!
Utamfukuza kwa sababu gani?
Jizi na lipenda rushwa liko busy linachangiaNyie washamba mmekuja juzi mjini , mntaka kuongoza nchi ,nendeni mkachunge mifugo ndiyo fani yenu ..Mbowe mtoto wa mjini .
Nyie washamba mmekuja juzi mjini , mntaka kuongoza nchi ,nendeni mkachunge mifugo ndiyo fani yenu ..Mbowe mtoto wa mjini .