Hawezi kufukuzwa kwa shutuma zisizo na uthibitisho. Wakati fulani demokrasia nayo inahitaji kuvumiliana na pia kushindana kwa hoja.
Ndani ya Chadema HAKUNA kenge wala nyumbu wa kumfukuza Mzee Mbowe. Narudia HAKUNA!!!Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Siwezi kuwa CCM habari iweje ila ukweli ni kwamba kama kuna mtu ambaye ni Chadema kwa kuzaliwa ni Mbowe ambaye alifilisiwa mali zake ili Chadema iendelee hivyo ukisikia mpumbavu anasema hovyo kuhusu Mbowe eti kauza CDM unachukia sana. Watakaouza CDM ni hawa vijana wa sasa ambao hawajui CDM imetoka wapi na kazi gani imefanyika kufika hapo.Wewe mwana CCM unaumia nini Mbowe kufukuzwa chadema
Humkubali Mbowe kwa lipi.Japo simkubali, ila Mbowe ana busara. Kakaa kimya ni busara sana, kukaa kimya sio kila mtu anaweza.
Ni busara kuacha uongozi uliopo ufanye kazi ya siasa. Kungekuwa na mgogoro mkubwa kama Mbowe angeendelea kuzungumza na kujiweka kwenye public.
Wamuache Mzee wa watu, wasimchokoze chokoze. Ni kosa kumchokonoa, kumshambulia mtu aliyekaa kimya.
Niliwaambia watu kuwa mbowe ni uchafu mkubwa sana ndani ya chadema.Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Unaweza kusema ni kwa lipi?Niliwaambia watu kuwa mbowe ni uchafu mkubwa sana ndani ya chadema.
Vipi Kamanda,kwani ugomvi wako na mwamba ni wa kichama ama ni wa binafsi zaidi?Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Humkubali Mbowe kwa lipi.
kwa sababu hapendwi na vijana wa Chama wa sasa.Utamfukuza kwa sababu gani?
Chama kilirejeshwa kwa wanachama January 2025.Siku ukija kujua Mbowe ndio mwenye chama chake ndio utajua wapangaji wanawezaje kumfukuza mwenye nyumba.
unakula ugali wa baba yako bure, hasara tupuWanamuogopa mzee mbowe
Tatizo chama kipo kwenye mikono ya wabangaizaji
Leo hakina ruzuku kabisa kinategemea michango ya Wananchi Masikini kujiendesha
Kwasasa chama kipo ICU kinapumilia mashine kwa ukata wa pesa🫎🫎🫎🫎🫎
Waende kumwangukia Baba yao Mzee mbowe 🤠🤠🤠
hamna kazi ya kufanya ee?
Lakini si alifanya hivyo?Simkubali kwa kitendo chake cha kung'ang'ania madaraka kwa miaka mingi. Alipaswa kuwapisha na watu wengine kwa heshima, waendeleze pale alipoishia. Uongozi ni kupokezana vijiti.
Hakuna haja ya kumfukuza kwani mwenyewe ameshajiweka pembeni wacha afanye yake na waliopo wafanye yao.Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe.
Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM.
Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Lakini si alifanya hivyo?
Uchaguzi ulifanyika na akashindwa na kukabidhi kiti kwa Lisu kwa amani na akakaa pembeni kama mwanachama wa kawaida na wala hajawahi kuingilia uongozi uliopo au amewahi. Sasa kwa kukaa kwake kimya mnaanza kumlaumu mnataka afanye nini?Hakufanya, alishindwa uchaguzi wake wa nne.
Fuc...YouMbona rahisi tu wapigie viongozi amfukuze.