Naibu katibu mkuu anaonekana kama ni tatizo sana?Issue sio Pesa,
Bosi wa Necta NI tofauti na naibu katibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu katibu mkuu anaonekana kama ni tatizo sana?Issue sio Pesa,
Bosi wa Necta NI tofauti na naibu katibu mkuu
Mh Joyce Ndalichako arudishwe kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA. Wakati wa Ndalichako kuna vijamaa vya imani fulani ya kidini vilikuwa vinalialia eti oooh wanabaguliwa kwenye ufaulu.Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)
Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Kuna ubaya gani ?Tutegemee kuanza kuvuja kwa mitihani tena
Kumbe kweli kuna watu wana haya mawazo ya kipumbavuWewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...
Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.
Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
NotedNafurahia maana akapate changamoto nyingine, na NECTA waachi kuwaita Markers walewale kila mwaka ndio reform tunazotaka kuona
ExactlyRIP NECTA
tukutane November watoto wa F4 F2 wakirushiana pepar za taifa ktk magroup ya wasap...
Mwislamu ndo anawekwaTumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)
Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Hahahahaha..........Basi imekula kwake.Kwa taarifa yako baadhi ya watu pendekezwa teuzi Zao zimeanzia zote humu,
Isipokuwa Paschal tu ambaye bado anasugua benchi
Mchechu alikuwa mkurugenzi wa NHC anadaka milioni 35 plus lakini katibu mkuu wizara hiyo hiyo hata milioni 7 hafiki. Hizi taasisi usizichukulie poa hata kidogo.Wewe ni mjinga na hujui kitu..
Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
Msonde ujuaji ulipitiliza hivi itakuwaje wasimamizi wa mitihani kidato cha nne wawe walimu wa shule ya msingi arafu wasimamizi wakuu wachaguliwe na NECTA yani mtu kisa tu alichaguliwa kwenda kusahisha mitihani NECTA unamchagua awe msimizi mkuuTumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)
Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Hapa Kuna pointMsonde ujuaji ulipitiliza hivi itakuwaje wasimamizi wa mitihani kidato cha nne wawe walimu wa shule ya msingi arafu wasimamizi wakuu wachaguliwe na NECTA yani mtu kisa tu alichaguliwa kwenda kusahisha mitihani NECTA unamchagua awe msimizi mkuu
Sasa Leo hii mwalimu mwenye elimu ya diploma amenda simamia mitihani ya kidato cha sita kama msimizi mkuu mwalimu ambaye huo mtihani wa form six ulimshinda kisa NECTA wamesema si ujinga huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...
Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.
Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
Hata mie nashangaa hapa khaaah.Mama ameshindwa hata kusubiri mitihani ya kidato cha sita iishe au hajui kama kuna mitihani inaendelea, unamtoaje mtu kwenye nafasi wakati katika kitengo chake hicho kuna jambo la msingi linanendea