PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

Nafurahia maana akapate changamoto nyingine, na NECTA waachi kuwaita Markers walewale kila mwaka ndio reform tunazotaka kuona
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)

Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Mh Joyce Ndalichako arudishwe kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA. Wakati wa Ndalichako kuna vijamaa vya imani fulani ya kidini vilikuwa vinalialia eti oooh wanabaguliwa kwenye ufaulu.
 
Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...

Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
Kumbe kweli kuna watu wana haya mawazo ya kipumbavu
 
RIP NECTA
tukutane November watoto wa F4 F2 wakirushiana pepar za taifa ktk magroup ya wasap...
 
Duh...hii siungi mkono.
Msonde ingepaswa aendelee NECTA,amekuwa akiitendea haki nafasi yake.
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)

Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Mwislamu ndo anawekwa

Yule maza bonge ndo mawazo yake
 
Ila nchi hii ya kipunguani sana! Mtu akionekana kufanya vizuri mahali lazima ahamishwe! Kwani hiyo nafasi na huko anakopelekwa kuna tofauti gani? Kama walitaka kumpa promotion basi si wangempa Katibu Mkuu wizara ya Elimu? Bure kabisa hili motheri!
 
Wewe ni mjinga na hujui kitu..

Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
Mchechu alikuwa mkurugenzi wa NHC anadaka milioni 35 plus lakini katibu mkuu wizara hiyo hiyo hata milioni 7 hafiki. Hizi taasisi usizichukulie poa hata kidogo.
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)

Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Msonde ujuaji ulipitiliza hivi itakuwaje wasimamizi wa mitihani kidato cha nne wawe walimu wa shule ya msingi arafu wasimamizi wakuu wachaguliwe na NECTA yani mtu kisa tu alichaguliwa kwenda kusahisha mitihani NECTA unamchagua awe msimizi mkuu

Sasa Leo hii mwalimu mwenye elimu ya diploma amenda simamia mitihani ya kidato cha sita kama msimizi mkuu mwalimu ambaye huo mtihani wa form six ulimshinda kisa NECTA wamesema si ujinga huo
 
Hapa Kuna point
 
Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...

Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama ameshindwa hata kusubiri mitihani ya kidato cha sita iishe au hajui kama kuna mitihani inaendelea, unamtoaje mtu kwenye nafasi wakati katika kitengo chake hicho kuna jambo la msingi linanendea
Hata mie nashangaa hapa khaaah.
 
Back
Top Bottom