Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Hata JPM tulimsifu hvi hvi. Akitaka afanikiwe asitengeneze uadui na mataifa ya nje na ikibidi awe anaenda ndo atawin. Asijifanye kichwa ngumu kama jiwe.Mwinyi yule dogo ni shida. Siku Mia Zanzibar kunachemka
Nimekuelewa bwashee!Mwinyi yule dogo ni shida. Siku Mia Zanzibar kunachemka
Hakuna Rais fisadi kama jiwe na shida nyingiRaisi anatakiwa awe fisadi , tofaut na hapo mtahangaika Sana
Wewe ni mjinga sana.Rais hupendekezwa?Je, uchaguzi wa rais umeshafanyika? Uwe unatumia akili.Kama kichwa cha habari kinavyosema Hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Huyu ndio aje bara ila asilete mambo ya JiweMwinyi yule dogo ni shida
Siku Mia Zanzibar kunachemka
Ulimsifu wewe labdaHata JPM tulimsifu hvi hvi ....akitaka afanikiwe asitengeneze uadui na mataifa ya nje na ikibidi awe anaenda ndo atawin .... Asijifanye kichwa ngumu kama jiwe
Si ajabu wewe ukawa fisadi au jambazi kabisa.Pole,tafuta mali halali.Raisi anatakiwa awe fisadi , tofaut na hapo mtahangaika Sana
Suala la ujinga linakujaje? Kaustaarabu kidogo Unatakiwa. Tujitahidi.Wewe ni mjinga sana.Rais hupendekezwa?Je, uchaguzi wa rais umeshafanyika? Uwe unatumia akili.
Nakazia hapa, angependekeza wakaongoze ukoo wake.Wewe ni mjinga sana.Rais hupendekezwa?Je, uchaguzi wa rais umeshafanyika? Uwe unatumia akili.
Huyu aende zake tu Hollywood[emoji562][emoji631] akale zake dolali [emoji765]kupitia zile filamu zake za ngono.Gwajima boy