Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Hao wote hawafai CCM wote hawafai , wangekuwa CCM na akili wangemsukumiza Saikatriki kesi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii inawezekana?Tunamrudisha Dr Mwinyi bara
Huo uzao wa vilaza tupuKama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
CCM huwa hamuelewi hata maana ya kibaraka,.Ipo siku wewe na chama chako mtakuwa wapinzani.Its a matter of time.Wala hatuhitaji Rais Kibaraka. Tunahitaji Rais ambaye atakuwa na hofu kwa Baba Mungu wa Mbinguni. Na siyo yule mungu mtu wa hapa duniani.
Hatuwezi tena kuwakabidhi nchi watu waongo, wabinafsi, wanafiki, wakatili, wasio heshimu haki za wengine, wadhulumati, na wabaguzi!
Neno mjinga ni sahihi kwa mtu sahihi.Suala la ujinga linakujaje? Kaustaarabu kidogo Unatakiwa. Tujitahidi.
Kuwa Rais weweKama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Aendelee tu kwani kuna Wasukuma wengine wengi hawajapangiwa nafasi wanasubiri kupangiwa.Aendelee Magufuli bila yeye nchi itayumba sana
Am i CCM? 🤭 Ipo siku mimi na chama changu cha CCM!!! Huku ni kutukanana sasa.CCM huwa hamuelewi hata maana ya kibaraka,.Ipo siku wewe na chama chako mtakuwa wapinzani.Its a matter of time.
Unafiki,uwoga na kujipendekeza ndio sifa kuu ya wanaCCM.
Eti mwenyekiti wa CCM analalamika kuhusu mbunge wa morogoro mjini,wakati yeye ndiye mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Chama.Dullness.
Wewe ni mjinga tu kama walivyo wajinga wengine,kwa sababu ujui michakato ya kumpata Raisi wa JMT.Suala la ujinga linakujaje? Kaustaarabu kidogo Unatakiwa. Tujitahidi.
Mimi nilicho changia, ni kuomba kupunguza ukali wa maneno , sina hakika, kuomba kupunguza ukali wa maneno nao ni ujinga, basi JF kuna kazi sana.Wewe ni mjinga tu kama walivyo wajinga wengine,kwa sababu ujui michakato ya kumpata Raisi wa JMT.
Na kwa sababu hiyo nyamaza kimya labda kama umetumwa na hata kama umetumwa Raisi hapatikani kwa kupendekezwa kwenye media.
UgeMalizia Kwa kibwagizo hiki: Asalamaleko. Tumsifu yesu kristoWala hatuhitaji Rais Kibaraka. Tunahitaji Rais ambaye atakuwa na hofu kwa Baba Mungu wa Mbinguni. Na siyo yule mungu mtu wa hapa duniani.
Hatuwezi tena kuwakabidhi nchi watu waongo, wabinafsi, wanafiki, wakatili, wasio heshimu haki za wengine, wadhulumati, na wabaguzi!
Yupo mbona we subiri magari mapya yatoke uonehuyu jamaa kaenda wapi? Nmemiss sana nyuzi zake asee.
Alijua Kikwete na Mkapa,na uache kumsingizia Mungu mambo ya hovyo-Mungu gani asiye na huruma anaweza mleta kiongozi kama Magufuli.Kwani nani alijua kwamba kati ya wale wote waliotia nia John Pombe Magufuli ndie angechaguliwa na NEC kuwa mgombea urais 2015?
Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu, kwa makusudi na mipango yake
Mambo ya Mungu sio ya hovyo ndugu, vinginevyo uwe humuamini Mungu au hujui dini yako inafundisha niniAlijua Kikwete na Mkapa,na uache kumsingizia Mungu mambo ya hovyo-Mungu gani asiye na huruma anaweza mleta kiongozi kama Magufuli.
hata lowasa walisemaga anauthubutu wa kufanaya maamuzi magumu, mimi nafikiri ungeongeza vigezo maana nafasi ya Urais inaitaji sifa zaidi ya uthubutu. mfano uadilifu (INTEGRITY), mcha Mungu, mpenda haki, asiyependa ukabila wala ukanda, atakae weza kuendeleza mazuri yote yatakayoachwa na mtangulizi wake pia atakae weka maslahi ya nchi mbele n.kKama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Achana na Zanzibar. Mwinyi anafanya kazi kubwa.Cha ajabu Zanzibar inajulikana sana ulimwenguni kuliko Bara.Hakuna unafiki kule.Tunangojea chanjo watalii wafurike.Mh Rais Dr Hussein Mwinyi ataigeuza Zanzibar iwe kama Singapore.Mwinyi yule dogo ni shida. Siku Mia Zanzibar kunachemka