Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

Namuhurumia mtu anayetamani kuwa Rais baada ya magufuli. Atakuta nchi inampumulia ventilator kifedha huku ikiwa na madeni kibao yakiwemo ya mchina. Na mchina ni hovyo kweli kwenye kudai.
 
Sidhani kama nchi itahitaji Rais 2025 wakati wa kuishi bila Rais umewadia ili tujitathmin kujua wapi huwa tunakosea...kusiwe na rais kabisa Ikulu ifungwe kwa kipindi iko utafutwe utaratibu mwingine wa kuongozwa
 
Na huyohuyo mungu kupitia vitabu vyake amekukataza kuhukumu, na amekuambia uheshimu mamlaka kwani mamlaka zote zatoka kwake
Kwahiyo usimpangie
Ina maana Mungu atupendi sisi waafrika why utupatia tawala dhalimu.Kwann afrika ndio upewa watawala wabovu kuliko mabara mengine?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Jafo hawezi amesha haribu kwenye covid19. Sorry lakini
 
Rais awe Hussein Mwinyi tu,hatutaki kuongozwa na mwalimu tena( Kassim Majaliwa),walimu wana roho mbaya na wana fikira za kimaskini hawafai kupewa madaraka makubwa tena.Jaffo action ni zero yeye maneno mengi na kuzurura tu hakuna alilofanikisha hata moja.Uhamisho wa watumishi tu umemshinda ataweza kuendesha nchi? Majaliwa ukiranja mkuu unamtosha baada ya hapo atulie ale pensheni.Hussein Mwinyi anafaa sana hana papara,mwadilifu,mcha Mungu na mchapa kazi anayetenda haki anafaa kuwa Rais wa JMT licha ya Baba yake kuwa Rais wa JMT 1985-1995.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Wewe unafaa kuwa Nani nchi hii?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Maamuzi magumu ya wizi wa kura, ama una maslahi nao binafsi?
 
Rais awe Hussein Mwinyi tu,hatutaki kuongozwa na mwalimu tena( Kassim Majaliwa),walimu wana roho mbaya na wana fikira za kimaskini hawafai kupewa madaraka makubwa tena.Jaffo action ni zero yeye maneno mengi na kuzurura tu hakuna alilofanikisha hata moja.Uhamisho wa watumishi tu umemshinda ataweza kuendesha nchi? Majaliwa ukiranja mkuu unamtosha baada ya hapo atulie ale pensheni.Hussein Mwinyi anafaa sana hana papara,mwadilifu,mcha Mungu na mchapa kazi anayetenda haki anafaa kuwa Rais wa JMT licha ya Baba yake kuwa Rais wa JMT 1985-1995
 
Huyu aende zake tu Hollywood[emoji562][emoji631] akale zake dolali [emoji765]kupitia zile filamu zake za ngono.
dokta askofu rashidi ana masenema mengi hata ya kufufua wafu, akienda Hollywood anaweza kutengeneza njuruku kweli.
 
Aendelee Magufuli bila yeye nchi itayumba sana
 
Watakua ndugu zako

Back
Top Bottom