Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Mpaka kizazi kilichopo madarakani kwa sasa kiondoke maana wanahisi ni nuksi kwa upigajiTunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Rubbish!Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Hahaha, Rais wa miaka mitano ....atengewe maadhimisho? Kwa lipi? Kuteka na kupeleka fedha china?Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Mafisadi mnajulikana tu 😅😅Tutashangilia kwa shangwe kubwa. Ukisikia kufa kufaana, huu msiba umetufaa sa a
Yaani unataka siku hiyo unataka tupumzike na kunywa bia kwa furaha kumshukuru Mungu kwa wema aliotutendea?Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Basi iwe siku ya mapumziko kwa kutambua mchango wa marais wote waliopita na wajao, na badala ya kuitwa Magufuli Day iitwe Presidents Day. Au unaonaje hapo bwashee?Hapana Tanzania Ina public holidays za kutosha, am sure Tanzania kama Taifa halijafika mwisho Marais wengi watakuja, watafanya mambo makubwa kuwazidi nawatafariki pia , tuangalie mbele tusiangalie mihemko ya sasa, tusilibebeshe Taifa public holidays furushi wakakosa muda wa kufanya kazi.
NYERERE na KARUME inaeleweka hawa ni waasisi wa Taifa
Mpaka Sasa hizo siku umezifanyia nini Cha maana?Kwa Nyerere day na karume day imetosha sana,tukiendekeza akili za mtoa mada tutafupisha siku za ufanyaji kazi kipuuzi.
Watu wengi wameporwa mali, wameumizwa na hata kuuwawa wakati wa utawala wa Magufuli. Fedha nyingi zimepotea, ubadhirifu, madeni makubwa, matumizi mabaya ya madaraka, ubaguzi wa kikabila, …, n.k. Aenziwe?! Kwa lipi?!!!Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Watu wengi wameporwa mali,wameumizwa na hata kuuwawa wakati wa utawala wa Magufuli. Fedha nyingi zimepotea, ubadhirifu, madeni makubwa, matumizi mabaya ya madaraka, ubaguzi wa kikabila, …, n.k. Aenziwe?! Kwa lipi?!!!Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Mtu akifa akiwa Rais, inabadilisha nini katika kifo chake?Na yeye alikufa akiwa rais
Kumbukumbu za viongozi wote wakitaifa zingewekwa katika siku moja tu, yaani Sikukuu ya Mashujaa. Hakuna haja ya kuwa na utitiri wa sikukuu nyingi katika nchi maskini kama yetu.What about BW Mkapa? Unadhani yeye hastahili kuenziwa?
Wakuwaenzi wabaki kuwa NYERERE na KARUME[emoji41] wanatosha.
Mtu akifa akiwa Rais, inabadilisha nini katika kifo chake?Na yeye alikufa akiwa rais